Why me?

Why me?

inaonyesha bado unampenda kwa moyo wako mkuu pamoja na kukutesa kote!!-mambo ya mapenzi mshauri wa kwanza ni wewe mwenyewe lakini fuata akili yako inasema nini na sio moyo wako
 
....we mpe mpe mpe mihela wala USIOMBE papuchiii.....mpeeee...utajifunza mengi, UKARIMU hauna fomula
 
Achana nae.... Kaa mbali kabisa.... Huwezi kubadili nature ya mtu... Atachange tu huyo.... Yupo mmoja tulipendana sana ila ghafla tu akaniacha.... Nikambembeleza sana akaniambia hataki kua na Mwanaume... Nikapiga moyo konde akaenda... After one year akanitafuta alikua na shida ya pesa ya kumalizia ada chuo... Nikafeel the gape... Tukawa tunawasiliana kama kawaida ila ni kama marafiki ambao wanahisia za kupendana.... After two weeks akawa harespond tena... Hapokei cm wala kujibu msg..

Siku alilipopokea simu nilimuuliza mbona hivyo lakini akaniambia "KWANI LAZIMA BWANA" Roho iliniuma sana... Kiukweli haikua lazima... Basi nikamwambia am sorry... Sikujua kama ninamsababishia usumbufu kiasi hicho... Ni miaka miwili sasa tangu anitamkie hilo neno "kwani lazima bwana" mpaka leo nasikia echo yake... Juzi kati rafiki yake alifiwa na baba yake akaniomba tena msaada wa pesa hiyo sauti ya kwani lazima bwana ilinisumbua sana mpaka niliposimama ktk kibanda cha ATM... Nikajifanya siisiki hiyo sauti nikajifariji kua anataka msaada wa pesa za msiba so as long as kifo hutufika sote nikampa... Ila bado anakakiburi flani hivi..

So huyo kaa nae mbali sana... Ikiwezekana mwambie pesa zako zote zinapitia kwa girlfriend wako wa sasa so asubiri upate nafasi uzungumze nae then later on mwambie mambo hayakwenda vizuri so there is no money...... TAMATI

mmmh una moyo mara mbil umetoa msaad mmh!! hongera
 
Nilitokea kumpenda dada mmoja
wakati nipo mlimani nasoma. Dada huyu alitokea mwanza alikuwa na dada
yake mkubwa akiishi mtaani kwetu, walikuwa wamezaliwa baba mmoja ila
mama zao mbali mbali ila wazazi wa huyu msichana wote
walishafariki,alikuwa amemaliza secondary. Sister wake mkubwa akawa
anamfanya Kama msichana wake wa kazi lakini nikamshauri aendelee kusoma
atakubali ila akawa Hana uwezo wote wa kujilipia shule kwahiyo akawa
anafanya kazi temporary huku anasoma na Mimi nilimsaidia baadae akaja
kupata kazi tra na Mimi nikawa nimemaliza masomo yangu ila nikawa
sijapata ajira kwahiyo nikawa namsaidia baba yangu kazi za ofisini
kwake, huyu dada akaja kunibadilikia kabisa na kunifanya Mimi nionekane
sio level yake kabisa uhusiano wetu ukafa ila niliumia sana, akawa hata
akipita karibu na ofisini kwa mdingi na marafiki zake hanisalimii
kabisaa! Nikawa najihisi vibaya sana, baadae nikapata scholarship ya
kuja kusoma Japan nae akaenda kusoma holland, nilipomaliza masomo yangu
nikapata kazi sasa amerudi bongo Hana kazi kwani tra alifukuzwa sababu
hasa sijui ila kuna cheti chake kimoja alifoji na kutumia cha Mdogo
wangu japokuwa uhusiano wetu ulikufa nikiwa bado nipo bongo sikuona
sababu ya kumharibia maisha yake, kinachonishangaza ametafuta namba
yangu ya simu na kunitumia texts kwamba amepata kazi kwenye ofisi ya ku
print vitabu japokuwa sio taaluma yake ameamua afanye huku akitafuta
kazi nyingine ila anaomba nimsaidie pesa za kujikimu baadae
atanirudishia! Najiuliza angekuwa na maisha mazuri angenitafuta? Why
now? Na inaonyesha amesahau yote alionifanyia! Na pia Ana dada zake
wawili wa baba mmoja,mama mmoja wanaishi uk kwann wasimsaidie ndugu Yao?
She seems to be in serious problem. Voice messages ni nyingi na texts,
naombeni ushauri wakuu.

dont you get tired of re-reading the same story again..it will have the same end...you should know some people in life come in season to teach us somthing,have you not learn your lesson...be incharge of your life and let her not controll you...stop being her prisoner and show her this tym things have completely changed and she is not worth it
 
kama unazo msaidie tu..............

may be katafuta sehem apate msaada kakosa ndio maana kakutafuta wewe........

you will loose nothing by helping her.......
 
Achana nae.... Kaa mbali kabisa.... Huwezi kubadili nature ya mtu... Atachange tu huyo.... Yupo mmoja tulipendana sana ila ghafla tu akaniacha.... Nikambembeleza sana akaniambia hataki kua na Mwanaume... Nikapiga moyo konde akaenda... After one year akanitafuta alikua na shida ya pesa ya kumalizia ada chuo... Nikafeel the gape... Tukawa tunawasiliana kama kawaida ila ni kama marafiki ambao wanahisia za kupendana.... After two weeks akawa harespond tena... Hapokei cm wala kujibu msg..

Siku alilipopokea simu nilimuuliza mbona hivyo lakini akaniambia "KWANI LAZIMA BWANA" Roho iliniuma sana... Kiukweli haikua lazima... Basi nikamwambia am sorry... Sikujua kama ninamsababishia usumbufu kiasi hicho... Ni miaka miwili sasa tangu anitamkie hilo neno "kwani lazima bwana" mpaka leo nasikia echo yake... Juzi kati rafiki yake alifiwa na baba yake akaniomba tena msaada wa pesa hiyo sauti ya kwani lazima bwana ilinisumbua sana mpaka niliposimama ktk kibanda cha ATM... Nikajifanya siisiki hiyo sauti nikajifariji kua anataka msaada wa pesa za msiba so as long as kifo hutufika sote nikampa... Ila bado anakakiburi flani hivi..

So huyo kaa nae mbali sana... Ikiwezekana mwambie pesa zako zote zinapitia kwa girlfriend wako wa sasa so asubiri upate nafasi uzungumze nae then later on mwambie mambo hayakwenda vizuri so there is no money...... TAMATI

ushauri wako na mambo unayofanya tofauti...
 
do your life usijejutia tena nimemsaidia ananidharau tena kumbuka ni yule yule ajabadilika ila huwa anabadilishwa na mazingira. i
 
Nimekusoma hp1, Asante kwa ushauri makini. I just blocked her number ila nafikiri amegundua sasa anapiga kwa namba tofauti natamani nibadilishe namba ila ngumu kwasabab nawasiliana na watu wengi kwa namba nayotumia, sijui hata anafikiria nn seriously anarudisha Hali fulani.
Mpe kavu za uso kuwa hutaki mawasiliano nae PERIOD!!Watu kama hao sio wa kuwaonea huruma na jinsi unavyomuignore anakuona sitaki nataka!!!
 
inaonyesha bado unampenda kwa moyo wako mkuu pamoja na kukutesa kote!!-mambo ya mapenzi mshauri wa kwanza ni wewe mwenyewe lakini fuata akili yako inasema nini na sio moyo wako
Kweli kabisa mkuu ukiuendekeza moyo utakufa na maumivu maana mhhhh...hebu nisiseme sana..Fuata akili yako sokwe
 
Last edited by a moderator:
kama unazo msaidie tu..............

may be katafuta sehem apate msaada kakosa ndio maana kakutafuta wewe........

you will loose nothing by helping her.......

Nakuhakikishia mahari haitarudi kwa kosa la wewe kuendekeza x-wako na ukoo utatafuta mwingine!!!!!!

Dare you!!!!
 
Lakini ngumu sana @ heaven on earth naona Kama ananiona ---- Fulani, moyo mzito sana.
 
Nilitokea kumpenda dada mmoja wakati nipo mlimani nasoma. Dada huyu alitokea mwanza alikuwa na dada yake mkubwa akiishi mtaani kwetu, walikuwa wamezaliwa baba mmoja ila mama zao mbali mbali ila wazazi wa huyu msichana wote walishafariki,alikuwa amemaliza secondary. Sister wake mkubwa akawa anamfanya Kama msichana wake wa kazi lakini nikamshauri aendelee kusoma atakubali ila akawa Hana uwezo wote wa kujilipia shule kwahiyo akawa anafanya kazi temporary huku anasoma na Mimi nilimsaidia baadae akaja kupata kazi tra na Mimi nikawa nimemaliza masomo yangu ila nikawa sijapata ajira kwahiyo nikawa namsaidia baba yangu kazi za ofisini kwake, huyu dada akaja kunibadilikia kabisa na kunifanya Mimi nionekane sio level yake kabisa uhusiano wetu ukafa ila niliumia sana, akawa hata akipita karibu na ofisini kwa mdingi na marafiki zake hanisalimii kabisaa! Nikawa najihisi vibaya sana, baadae nikapata scholarship ya kuja kusoma Japan nae akaenda kusoma holland, nilipomaliza masomo yangu nikapata kazi sasa amerudi bongo Hana kazi kwani tra alifukuzwa sababu hasa sijui ila kuna cheti chake kimoja alifoji na kutumia cha Mdogo wangu japokuwa uhusiano wetu ulikufa nikiwa bado nipo bongo sikuona sababu ya kumharibia maisha yake, kinachonishangaza ametafuta namba yangu ya simu na kunitumia texts kwamba amepata kazi kwenye ofisi ya ku print vitabu japokuwa sio taaluma yake ameamua afanye huku akitafuta kazi nyingine ila anaomba nimsaidie pesa za kujikimu baadae atanirudishia! Najiuliza angekuwa na maisha mazuri angenitafuta? Why now? Na inaonyesha amesahau yote alionifanyia! Na pia Ana dada zake wawili wa baba mmoja,mama mmoja wanaishi uk kwann wasimsaidie ndugu Yao? She seems to be in serious problem. Voice messages ni nyingi na texts, naombeni ushauri wakuu.

Aisee, ndugu yangu ulikosea sana kumsomesha mtu ambaye hujazaa nae huku ukiwa na tegemeo la kumuoa! mimi naweza kumsomesha mtu ambaye sina mpango naye wa kuoana tu!, ila kama ni mpango wa kuoana basi shariti tuzae kwanza ili ukiniacha mwanangu kuna cha kurithi ataambulia toka kwa mama yake sina hakika kama atatukataa wote mimi na mwanangu!
wadada tunashindwa kuwasaidia kwa kuogopa stress baadae, unaweza kufa hivi hivi kumsomesha mchumba, na ni wengi wanalia japo wachache sana hufikia marengo
Ushauri wangu Temana naye kabisa hata sms zake usijibu, kakutafuta baada ya kufuatilia na kujua siku hizi mambo yako safi na anajua unampenda sana hivyo akisema tu kaka yangu unalegea! aisee tuko smart kwa nini wewe? usituangushe! usimpe hata salaam!
 
Nilitokea kumpenda kitambo not anymore, kumsaidia kwangu ilitokana na kumuonea huruma Hana wazazi na sister yake waliokuwa wana share baba alikuwa anamfanyisha kazi za nyumbani Kama punda, na alikuwa anaonyesha Ana uwezo wa kusoma. Wakati mwingine nasema angelelewa na wazazi wake pengine asingekuwa na hii tabia.
 
Back
Top Bottom