Kayoka
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 2,366
- 2,151
Hebu songa mbele na usirudi nyumba.
ulimaanisha nini mkuu?
Hebu songa mbele na usirudi nyumba.
ha haaa, huyo dada keshaona sehemu ya kuvuna....sokwe kama unajisikia kumsaidia wewe msaidie tu;
Elewa kwamba safari ya maisha yenu bado ni ndefu.
Najaribu ... Ablessed ila roho yangu nzito, nafikiri hata ungekuwa wewe pia ungewaza mengi.
Katika walio ongea dada umenena! Kwa jinsi hii unampilia makaa mwenyewe na atakuwa anasutwa ndani! Ila kuwa makini usije anzisha mahusiano nae tena!Hapo ndo unapokosea kwani kumsaidia mtu lazima muwe na mahusiano na je mtu akiwa na ndugu UK ndio kigezo cha hao ndugu kuwa na pesa au kuwa msaada kwa wengine. Ni kweli alikuumiza na mlishatengana lkn bado unaweza kumsaidia kama mtu yeyote with no strings attached. Kumbuka si wote tunaowasaidia wana tabia njema au walitutendea wema hapana. Wengine tunawasaidia tu kwasababu tunawiwa kufanya hivyo. Sasa kama unaweza msaidie na siku nyingine mweleze machungu yako yaan i alichokufanyia na kwamba ulishamsamehe. Na mfahamishe uhusiano wenu ni wadada na kaka na si vinginevyo. USHINDE UBAYA KWA WEMA.