Wrong!!!She knows you are too weak to rejectI don't love her fyddell, but I'm sure she knows that I'm too kind, ila kwa hili sitoweza, I appreciate for ur advise tho.
yeah, nimeshindwa kumuelewa huyu dada kwa kweli ukichukulia ni zaidi ya miaka 10 imeshapita!
Nafikiri tusihukumu wanawake wote ktk hii issue yangu kwan wapo wastaarabu pia, ila nashukuru kwa michango yenu.