Why me?

Why me?

Achana nae.... Kaa mbali kabisa.... Huwezi kubadili nature ya mtu... Atachange tu huyo.... Yupo mmoja tulipendana sana ila ghafla tu akaniacha.... Nikambembeleza sana akaniambia hataki kua na Mwanaume... Nikapiga moyo konde akaenda... After one year akanitafuta alikua na shida ya pesa ya kumalizia ada chuo... Nikafeel the gape... Tukawa tunawasiliana kama kawaida ila ni kama marafiki ambao wanahisia za kupendana.... After two weeks akawa harespond tena... Hapokei cm wala kujibu msg..

Siku alilipopokea simu nilimuuliza mbona hivyo lakini akaniambia "KWANI LAZIMA BWANA" Roho iliniuma sana... Kiukweli haikua lazima... Basi nikamwambia am sorry... Sikujua kama ninamsababishia usumbufu kiasi hicho... Ni miaka miwili sasa tangu anitamkie hilo neno "kwani lazima bwana" mpaka leo nasikia echo yake... Juzi kati rafiki yake alifiwa na baba yake akaniomba tena msaada wa pesa hiyo sauti ya kwani lazima bwana ilinisumbua sana mpaka niliposimama ktk kibanda cha ATM... Nikajifanya siisiki hiyo sauti nikajifariji kua anataka msaada wa pesa za msiba so as long as kifo hutufika sote nikampa... Ila bado anakakiburi flani hivi..

So huyo kaa nae mbali sana... Ikiwezekana mwambie pesa zako zote zinapitia kwa girlfriend wako wa sasa so asubiri upate nafasi uzungumze nae then later on mwambie mambo hayakwenda vizuri so there is no money...... TAMATI

Aseee wewe ni boya kuliko huyo mwenzako! Inakuwaje msichana unamdekeza kiasi hicho?!
 
Hilo litakuwa zoezi gumu Jerrymsigwa kwasabab naishi Japan yeye yupo tanzania.
 
Ninao wengi wanaohitaji msaada wangu eli79, and they real appreciate for whatever I'm doin to them and it gives me joy to be able to support them, and keep workin harder.

User name alikuchagulia yeye?????!!!

Kweli evolution bado inaendelea!!!!!!
 
Namdekeza na nn mafinyofinyo Hebu fafanua pia kuwa na lugha za kistaarabu.
 
How my user name is got to do with this? I don't get it! Can you try to clarify your opinion?
 
Aseee wewe ni boya kuliko huyo mwenzako! Inakuwaje msichana unamdekeza kiasi hicho?!

Teh teh teh.. ... Mkuu wahenga walinena kuwa ukipenda chongo huona kengeza... By the way hata nilikua sijioni ujinga wangu... Na hii inatokea kwa wote ila ktk stage na level tofauti unless otherwise uwe hujawahi kupenda... Nilichojifunza ni kwamba ukipenda penda kwa akili.. Usipende kwa moyo
 
Lakini ujue pia alikufanya ukumbuke kujiendeleza kielimu;
Angekukumbatia usingewaza kujiendeleza kimasomo.

Ni changamoto za kimaisha tu hizo;
Tena ujue tabia za ke mara zote zinakaribiana sana;

Hata mwingine anaweza kukuumiza kwa kubwa zaidi ya hilo;

But amua utakavyopenda wewe na moyo wako.

Mamndenyi hii ngumu kumeza, unajua huyu dada alikuwa ananifanya nijione very mean kiasi kwamba hata nilipokuwa namsaidia baba yangu ofisini nikiaikia yupo jirani najificha ofisini kwa huzuni sitosahau ila nilikwisha samehe na kusahau ila she just brought all the bad memory back and it real affect me to some extent.
 
Umesema vyema mkuu Mgibeon.
 
Hapana Mamndenyi mipango ya kusoma ilikuwepo hata kielimu alikuwa yupo nyuma sana hata angekuwa na elimu, hiyo aikuwa sababu ya kumpenda, alijiona yupo juu alivyopata kazi tra na kutembea na wafanyakazi wenzake! Hiyo ndio ilikuwa level yake sio Mimi, niliomba scholarship nchi 3, na Japan sikuwa nimeipa priority kubwa lakini niliamua kuja huku ili niondokane na adha ya kumuona lakini mungu mkubwa nchi ambayo sikuipenda ndio imekuwa Ina neema kubwa! Kiasi hata rafiki zangu waliokwenda kusoma uk na USA wanataka niwasaidie kuja kufanya kazi hapa tangu uchumi uanguke.
 
That will be another topic Eli79, and that's not why I'm here for! ..right?

I understand, but if u had a girlfriend, probably this wouldn't have happened, coz u would be concentrating on her wellbeing and your future.
 
That might be true somehow @ eli79.
 
Ok poa.
amua utakavyopenda mwenyewe.

Hapana Mamndenyi mipango ya kusoma ilikuwepo hata kielimu alikuwa yupo nyuma sana hata angekuwa na elimu, hiyo aikuwa sababu ya kumpenda, alijiona yupo juu alivyopata kazi tra na kutembea na wafanyakazi wenzake! Hiyo ndio ilikuwa level yake sio Mimi, niliomba scholarship nchi 3, na Japan sikuwa nimeipa priority kubwa lakini niliamua kuja huku ili niondokane na adha ya kumuona lakini mungu mkubwa nchi ambayo siku upends ndio imekuwa Ina neema kubwa! Kiasi hata rafiki zangu waliokwenda kusoma uk na USA wanataka niwasaidie kuja kufanya kazi hapa tangu uchumi uanguke.
 
Yeah, nimeshindwa kumuelewa huyu dada kwa kweli ukichukulia ni zaidi ya miaka 10 imeshapita!

Mkuu kwanini unajiita sokwe? Kama alikuchagulia yeye, stuka na chukua hatua.
 
Back
Top Bottom