I don't love her fyddell, but I'm sure she knows that I'm too kind, ila kwa hili sitoweza, I appreciate for ur advise tho.
Umeonaee.. Haya uamuzi ni wake sasa.
Achana nae.... Kaa mbali kabisa.... Huwezi kubadili nature ya mtu... Atachange tu huyo.... Yupo mmoja tulipendana sana ila ghafla tu akaniacha.... Nikambembeleza sana akaniambia hataki kua na Mwanaume... Nikapiga moyo konde akaenda... After one year akanitafuta alikua na shida ya pesa ya kumalizia ada chuo... Nikafeel the gape... Tukawa tunawasiliana kama kawaida ila ni kama marafiki ambao wanahisia za kupendana.... After two weeks akawa harespond tena... Hapokei cm wala kujibu msg..
Siku alilipopokea simu nilimuuliza mbona hivyo lakini akaniambia "KWANI LAZIMA BWANA" Roho iliniuma sana... Kiukweli haikua lazima... Basi nikamwambia am sorry... Sikujua kama ninamsababishia usumbufu kiasi hicho... Ni miaka miwili sasa tangu anitamkie hilo neno "kwani lazima bwana" mpaka leo nasikia echo yake... Juzi kati rafiki yake alifiwa na baba yake akaniomba tena msaada wa pesa hiyo sauti ya kwani lazima bwana ilinisumbua sana mpaka niliposimama ktk kibanda cha ATM... Nikajifanya siisiki hiyo sauti nikajifariji kua anataka msaada wa pesa za msiba so as long as kifo hutufika sote nikampa... Ila bado anakakiburi flani hivi..
So huyo kaa nae mbali sana... Ikiwezekana mwambie pesa zako zote zinapitia kwa girlfriend wako wa sasa so asubiri upate nafasi uzungumze nae then later on mwambie mambo hayakwenda vizuri so there is no money...... TAMATI
Huna ndugu wa kuwapa msaada? Ukiona mtu hana shukrani, haina sababu ya kurudi tena coz hata umshushie mbingu hawezi kukishukuru. Utazidi kuwa mtu wa kutatua matatizo yake tu. Angalau basi aonyeshe appreciation![/
QUOTE]
Kweli mkuu.... Me naamini kuna binadamu huwezi ku-match nao hata iwaje... Sasa hali hiyo ikitokea ktk mapenzi inakua mbaya sana.... Huyu mkuu Sokwe yeye asepe kimya kimya tu... Kama tatizo ni kutafutwa na huyo bidada ktk cm basi amchane live... Am sure she will let him go... Amwambie hapendezwi na uwepo wake so amuache asimsumbue kwa lolote jema au baya...
Ninao wengi wanaohitaji msaada wangu eli79, and they real appreciate for whatever I'm doin to them and it gives me joy to be able to support them, and keep workin harder.
sokwe kama unajisikia kumsaidia wewe msaidie tu;
Elewa kwamba safari ya maisha yenu bado ni ndefu.
Nimekusoma hp1, Asante kwa ushauri makini. I just blocked her number ila nafikiri amegundua sasa anapiga kwa namba tofauti natamani nibadilishe namba ila ngumu kwasabab nawasiliana na watu wengi kwa namba nayotumia, sijui hata anafikiria nn seriously anarudisha Hali fulani.