Why me?

Why me?

sokwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2011
Posts
2,022
Reaction score
1,062
Nilitokea kumpenda dada mmoja wakati nipo mlimani nasoma. Dada huyu alitokea mwanza alikuwa na dada yake mkubwa akiishi mtaani kwetu, walikuwa wamezaliwa baba mmoja ila mama zao mbali mbali ila wazazi wa huyu msichana wote walishafariki,alikuwa amemaliza secondary. Sister wake mkubwa akawa anamfanya Kama msichana wake wa kazi lakini nikamshauri aendelee kusoma atakubali ila akawa Hana uwezo wote wa kujilipia shule kwahiyo akawa anafanya kazi temporary huku anasoma na Mimi nilimsaidia baadae akaja kupata kazi tra na Mimi nikawa nimemaliza masomo yangu ila nikawa sijapata ajira kwahiyo nikawa namsaidia baba yangu kazi za ofisini kwake, huyu dada akaja kunibadilikia kabisa na kunifanya Mimi nionekane sio level yake kabisa uhusiano wetu ukafa ila niliumia sana, akawa hata akipita karibu na ofisini kwa mdingi na marafiki zake hanisalimii kabisaa! Nikawa najihisi vibaya sana, baadae nikapata scholarship ya kuja kusoma Japan nae akaenda kusoma holland, nilipomaliza masomo yangu nikapata kazi sasa amerudi bongo Hana kazi kwani tra alifukuzwa sababu hasa sijui ila kuna cheti chake kimoja alifoji na kutumia cha Mdogo wangu japokuwa uhusiano wetu ulikufa nikiwa bado nipo bongo sikuona sababu ya kumharibia maisha yake, kinachonishangaza ametafuta namba yangu ya simu na kunitumia texts kwamba amepata kazi kwenye ofisi ya ku print vitabu japokuwa sio taaluma yake ameamua afanye huku akitafuta kazi nyingine ila anaomba nimsaidie pesa za kujikimu baadae atanirudishia! Najiuliza angekuwa na maisha mazuri angenitafuta? Why now? Na inaonyesha amesahau yote alionifanyia! Na pia Ana dada zake wawili wa baba mmoja,mama mmoja wanaishi uk kwann wasimsaidie ndugu Yao? She seems to be in serious problem. Voice messages ni nyingi na texts, naombeni ushauri wakuu.
 
Nilitokea kumpenda dada mmoja wakati nipo mlimani nasoma. Dada huyu alitokea mwanza alikuwa na dada yake mkubwa akiishi mtaani kwetu, walikuwa wamezaliwa baba mmoja ila mama zao mbali mbali ila wazazi wa huyu msichana wote walishafariki,alikuwa amemaliza secondary. Sister wake mkubwa akawa anamfanya Kama msichana wake wa kazi lakini nikamshauri aendelee kusoma atakubali ila akawa Hana uwezo wote wa kujilipia shule kwahiyo akawa anafanya kazi temporary huku anasoma na Mimi nilimsaidia baadae akaja kupata kazi tra na Mimi nikawa nimemaliza masomo yangu ila nikawa sijapata ajira kwahiyo nikawa namsaidia baba yangu kazi za ofisini kwake, huyu dada akaja kunibadilikia kabisa na kunifanya Mimi nionekane sio level yake kabisa uhusiano wetu ukafa ila niliumia sana, akawa hata akipita karibu na ofisini kwa mdingi na marafiki zake hanisalimii kabisaa! Nikawa najihisi vibaya sana, baadae nikapata scholarship ya kuja kusoma Japan nae akaenda kusoma holland, nilipomaliza masomo yangu nikapata kazi sasa amerudi bongo Hana kazi kwani tra alifukuzwa sababu hasa sijui ila kuna cheti chake kimoja alifoji na kutumia cha Mdogo wangu japokuwa uhusiano wetu ulikufa nikiwa bado nipo bongo sikuona sababu ya kumharibia maisha yake, kinachonishangaza ametafuta namba yangu ya simu na kunitumia texts kwamba amepata kazi kwenye ofisi ya ku print vitabu japokuwa sio taaluma yake ameamua afanye huku akitafuta kazi nyingine ila a naomba nimsaidie pesa za kujikimu baadae atanirudishia! Najiuliza angekuwa na maisha mazuri angenitafuta? Why now? Na inaonyesha amesahau yote alionifanyia! Na pia Ana dada zake wawili wa baba mmoja,mama mmoja wanaishi uk kwann wasimsaidie ndugu Yao? She seems to be in serious probleme. Voice messages ni nyingi na texts, naombeni ushauri wakuu.
hapo kwenye bold ndipo utakapokosea mkuu..acha adili na matatizo yake mwenyewe,HAYAKUHUSU!
 
Yeah, nimeshindwa kumuelewa huyu dada kwa kweli ukichukulia ni zaidi ya miaka 10 imeshapita!
 
Atakurudishia unazomkopesha sasa ama pamoja na zile ulizomsaidia enzi akiwa hausigelo? Na hapo anapofanya kazi kwani hawamlipi? Why heka za kujikimu umpe wewe? Unahisi umeshafikia level yake sasa?

Na muda wote huo teka mmeachana hujapata hata gelofrendi? Hebu jiongeze baba
 
I don't know king'asti anasema ndio kwanza ameanza kazi.
 
It's too hard gilo24! I'm just a human being.
 
Asante sister tinna cute.
 
Achana nae.... Kaa mbali kabisa.... Huwezi kubadili nature ya mtu... Atachange tu huyo.... Yupo mmoja tulipendana sana ila ghafla tu akaniacha.... Nikambembeleza sana akaniambia hataki kua na Mwanaume... Nikapiga moyo konde akaenda... After one year akanitafuta alikua na shida ya pesa ya kumalizia ada chuo... Nikafeel the gape... Tukawa tunawasiliana kama kawaida ila ni kama marafiki ambao wanahisia za kupendana.... After two weeks akawa harespond tena... Hapokei cm wala kujibu msg..

Siku alilipopokea simu nilimuuliza mbona hivyo lakini akaniambia "KWANI LAZIMA BWANA" Roho iliniuma sana... Kiukweli haikua lazima... Basi nikamwambia am sorry... Sikujua kama ninamsababishia usumbufu kiasi hicho... Ni miaka miwili sasa tangu anitamkie hilo neno "kwani lazima bwana" mpaka leo nasikia echo yake... Juzi kati rafiki yake alifiwa na baba yake akaniomba tena msaada wa pesa hiyo sauti ya kwani lazima bwana ilinisumbua sana mpaka niliposimama ktk kibanda cha ATM... Nikajifanya siisiki hiyo sauti nikajifariji kua anataka msaada wa pesa za msiba so as long as kifo hutufika sote nikampa... Ila bado anakakiburi flani hivi..

So huyo kaa nae mbali sana... Ikiwezekana mwambie pesa zako zote zinapitia kwa girlfriend wako wa sasa so asubiri upate nafasi uzungumze nae then later on mwambie mambo hayakwenda vizuri so there is no money...... TAMATI
 
It's too hard gilo24! I'm just human being.

It seems you still love her and a public intention seeker. She didn't care about you n didn't get close to you when she was working TRA why now? Mpotezee nae apate machungu kama uliyoyapata kipindi kile. The matter of fact is SHE NEVER LOVED YOU
 
Achana naye pia usipokee simu zake wala kujibu meseji
 
Nimekusoma mkuu Mgibeon, I was seriously struggling what to do not in a sense that I dont love her anymore,but she's just in trouble and needs help, ila Ana ndugu zake ambao wanaweza kumsaidia.
 
sokwe it shows bado unampenda huyo dada and i blv analijua hilo thats why amepata tatizo anakuomba hela akijua utampa.
1. How sure are u km analokuambia ni kweli?
2. Jiulize akiwa in good times mbona hakutafuti?
Ma dia wakeup huyo hakupend anatumia mwanya wa ww kumpenda yy. Ss tunakupa ushaur ila uamuz wa mwisho unao ww
 
Last edited by a moderator:
I don't love her fyddell, but I'm sure she knows that I'm too kind, ila kwa hili sitoweza, I appreciate for ur advise tho.
 
sokwe it shows bado unampenda huyo dada and i blv analijua hilo thats why amepata tatizo anakuomba hela akijua utampa.
1. How sure are u km analokuambia ni kweli?
2. Jiulize akiwa in good times mbona hakutafuti?
Ma dia wakeup huyo hakupend anatumia mwanya wa ww kumpenda yy. Ss tunakupa ushaur ila uamuz wa mwisho unao ww

Umeonaee.. Haya uamuzi ni wake sasa.
 
Last edited by a moderator:
Mtu yule yule aliyekudharau na kukuona haufai kwa kuwa haukuwa na kazi leo anakutafuta kwa kuwa umekuwa level ya juu. Trust me, anachokihitaji kwako ni wallet na mwisho wa siku atakuumiza kuliko hapo awali. Unaonyesha unampenda sana, ila yeye hakupendi kabisa. Tupa kule!
 
Mtu yule yule aliyekudharau na kukuona haufai kwa kuwa haukuwa na kazi leo anakutafuta kwa kuwa umekuwa level ya juu. Trust me, anachokihitaji kwako ni wallet na mwisho wa siku atakuumiza kuliko hapo awali. Unaonyesha unampenda sana, ila yeye hakupendi kabisa. Tupa kule!

True all she wants ni chapaa
 
Back
Top Bottom