Why me?

Carmel yaani nimemshangaa sana huyu jamaa,nina wasi wasi sana na mwenendo mzima wa maisha yake.Unatia shaka sana.
halafu eti anaaandika why me, why you? its simply because you started it, so deal with it. halafu mi naona kakudekeza kama ana uchawi kweli angehakikisha hata kusimama huwezi.
 
huwa hawalogi ki-hivyo kaka,yaani akikuloga hata round moja huendi,jongoo halipandi mtungi kabisa.

una matatizo ya kisaikolojia kaka.
 
huwa hawalogi ki-hivyo kaka,yaani akikuloga hata round moja huendi,jongoo halipandi mtungi kabisa.

una matatizo ya kisaikolojia kaka.

Eddy umemweleza jambo la maana sana,ni kweli inavyoonekana jamaa ameathirika kisaikolojia anachohitaji ni ushauri.
 
Robot

Leo naona mehamishia majeshi huku........umeshukia jamaa kama mwewe......! Sika, Welcome to JF however! People here are used to call a spade, spade!
 
imebidi nicheke tu...MJ1,Agika,Carmel,Msindima,VC jamani njooni mumpe kijana ushauri huku....
Heeee Nyamayao.... huyu anatakiwa kuchukua mapumziko mafupi katika kila kitu. Speed zake zinamponza... kahitilafiana kidogo na demu..tayari keshakimbilia kutafuta spare tyre..... hajatulia!
 
Heeee Nyamayao.... huyu anatakiwa kuchukua mapumziko mafupi katika kila kitu. Speed zake zinamponza... kahitilafiana kidogo na demu..tayari keshakimbilia kutafuta spare tyre..... hajatulia!

anacngizia kulongwa.....halafu hizo round anazoenda mbona za kutosha tu jamani?
 
Mambo vipi wana JF.

Naombeni ushauri wenu nilikuwa na demu wangu ambaye tulipendana sana ila siku moja ilitokea missunderstanding kati yangu na yeye ambayo ilisababisha mawasiliano baina yetu, hivyo kunipelekea mimi kutafuta demu mwingine wa kunipooza machungu

Chanzo cha haya matatizo yote ni huyu demu mwingine kwani alishawahi kuniambia endapo nitakuja kumwacha ataniloga niliamini hvyo kwn kuna cku moja nilimkuta na hirizi ambapo nilipomuuliza aliniambia alipewa alipokuwa anaumwa, nikamuuliza si umeshapona vp bado unayo akanipa maelezo ambayo hayakuniridhisha na hivyo kuamua kumuacha kwa kumwambia kuwa naomba muda wa kuwa peke yangu, akaniuliza kuwa niesharudiana na demu wangu wa awali, nikajibu hapana. Lakini ukweli ni kwamba nimerudiana na demu wangu.

Tatizo ni kwamba tangu nirudiane na huyu demu wangu nimekuwa nashinwa kwenda round tatu. Je, yawezekana yule demu ni kweli ameniloga? Nilishampiga stop kuwasiliana na mimi kwa kuhofia kunigombanisha na demu wangu, lakini kwa sasa natamani nimuombe msamaha kama ni yeye kweli lakini nashindwa jinsi ya kumuanza

So wana JF naombeni ushauri wenu kwani naumia kisaikolojia.

...muhimu ni kutosheka naye atosheke. Sio baiskeli hiyo useme kila ukiipanda hushuki mpaka umalize raundi!

Tukija kwenye imani za kishirikina ni wewe tu na akili yako,... ukishaamini umerogwa siku si nyingi raundi moja kuimaliza itakuwa kazi, na kama ukipatwa na mfadhaiko ndio kabisaa utasema juju limekukolea.

Mapenzi ni roller coaster ride, machungu ni package ndani ya 'ugonjwa' huu,... tafuta njia za kuyatatua machungu hayo na mwenza wako badala ya 'kuzima moto kwa mafuta ya taa...'
 
Hey Jamani Tusimpige madongo sana. We have to consider the following.
1. How long do you take for one round?
There some who can take over an hour for a round! I think for these guys one round is more than enough.
There are some guys who may take less than 5 mins for around! I think these kind of ppl need more round.
So my friend, how long do you take for a round???
Forget about the first
Lets talk from the second onwards.
 
Mkuu USIYEONEKANA<
Sikujua kama na huku kwenye "Uelimishaji Rika" umo. Nilidhani ni kwa akina nyamayao, chaku, mwanajamii one .. tuu..
duu big points!
Hahaha Shapu,

Nilikatiza mitaa hii mkuu, ndo nikaona niache walau nimetia neno kwa mdau.
 
Back
Top Bottom