Why many Tanzanians don’t support their President

Jamii forums ina downloads zaidi ya million. Bado mutandao mingine ya kijamii.
Acha kujidanganya jf members na visitors kwa ujumla hawafiki hata elfu 7

Wakati YouTube video zinazotrend 20 kati yake 12 zinamuhusu Magu na zina viewers millions huku comments 95% ni positive, jf is overrated
 
Acha kujidanganya jf members na visitors kwa ujumla hawafiki hata elfu 7

Wakati YouTube video zinazotrend 20 kati yake 12 zinamuhusu Magu na zina viewers millions huku comments 95% ni positive, jf is overrated
Kurasa za jf za social media zina wafuasi zaidi ya watu mil 4
 
Collective responsibility......Hivi kila kitu kizuri TZ anafanya rais? Je na vibaya pia anafanya yeye? Navyojua rais anateua wasaidizi wa kumsaidia baadhi ya majukumu..
 
Yoh said sure
I will not indulge in all u said here, but on one thing you are totally wrong.

The Ruling Party is still the most popular party in the country, please lets not hide our heads in the sand.

The Opposition needs to do alot to dislodge CCM from power.
 
Nilisema watu wote Lumumba ni darasa la saba waliofeli au products za shule za sekondari za KATA, elimu bure. Angalia sentensi yako, hata aibu huna! Lione hiloooooooooooo. Broken English!
How did you counted them?
 
Acha kutafuta sifa zakijinga Nakama hujuwi , nakuju nimefanya uchunguzi pale kariakoo watu nikam wanasubiri siku Rais awaite wawaumbue mnaosema anachukiwa shuhud za watu nizakutisha sasa ukiniambia Rais anachukiwa naweza Sema wewe na familia yako ndio mnachuk Wala sio Watanzania. Aibu Aibu yako
 

Acha kujimwambafai,wengi wanampenda ambao hawapo jamii forum wala hawajui jamii forum ni mdudu gani!fanya utafiti uje na takwimu kwenye vyombo vinavyosomwa na kusikilizwa na watu wengi!gademit
 
Kurasa za jf za social media zina wafuasi zaidi ya watu mil 4

Hii video imepandishwa YouTube week lakini ina views 845,000 comments 95% positive, sasa kitu kama hiki unakilinganishaje na jf?

JF ilikua ni zamani kabla social media hazijaja lakini saivi jf haina ushawishi wowote, imefulia
 
Hapa mkuu umeongea ukweli kabisa.Hata hao wanaokupinga ndani ya mioyo yao wanajua huku ndio ukweli!
 
Kule twiter wakati Diamond anawafuasi 726 k but..Magufuli ana 639 k.Yaani Magufuli anazidiwa hadi na Kikwete ambaye amestafu mwenye 1.2 m followers..praise team mfikishieni salam zake
 

Hao wengi wanaomsupport hawajui kutumia mitandao? Apige kura kwani jiwe anaheshimu box la kura?
 

Kwakuwa serikali inapika data, basi unadhani kila taasisi inapika data? Endelea kuamini waliojiandikisha kwenye uchaguzi serikali za mitaa ni 19m ndani ya siku kumi na hakukuwa na misururu vituoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…