Why many Tanzanians don’t support their President

Why many Tanzanians don’t support their President

Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.

Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.

Umeandika kama unaandika Isha ,tofauti kabisa na Hali halisi.
 
Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na idadi ndogo iliyomtandaoni hapa. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.

Hapa JF kuna jumla ya watu wasiofika takribani laki 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hiyo wasiomsapoti ni 1 tu ambaye ni wewe. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata kura ndugu yangu.
Kwa mambo anayoyafanya,Nampa tano.
Ila atakuwa hayuko makini kama ataondoka madarakani bila kuacha katiba mpya itakayo Linda hayo mazuri aliyo yafanya kwa watanzania.
Mfano,nikutokana na katiba mbovu ya toka uhuru ndo iliyosababisha shirika la ndege kufa,reli ya Kati na kasikazini kuwa taabani na upande mmoja kufa,vivuko kutokarabatiwa,nyumba za umma kuuzwa kwa wajanja wachache
Kama yalifanywa hivo pindi cha nyuma ategemee hata baada ya kutoka madarakani juhudi zote alizozifanya ni sifuri,na huwenda jamaa wenye uchu na Mali za umma Hapo wanachekelea wakiamini jamaa akitoka madarakani watakula alivyo wachumia.
Magu anatakiwa kuweka kigingi Cha kufa mtu kwa Mali ya umma ambacho ni katiba mpya yenye kutoa machozi kwa wenye ulafi was Mali ya umma pindi wanapoisoma,tofauti na happy atasaulika mapema
 
Members of this forum,

Here are a few reasons why an overwhelming majority of people in Tanzania don’t support their President:

1. He has demonized the opposition in Tanzania by labeling them as enemies of his establishment and development. Truth is, the opposition can not touch his establishment or stop him from doing what he wants. They don’t hold majority in the Parliament nor any position in government.

2. He is sadistic and relishes on the suffering and pain of others. Remember he went quiet when devastating earthquakes hit Bukoba and when he spoke, he said in public that the people of that region somewhat caused the earthquakes. A true leader would comfort his people in suffering.

3. He prefers to keep the country in the dark on matters that would not score him political points, and blow his trumpet on matters that would give him cheap votes or make the opposition look bad. Consider the seizure of the Bombadier back in 2017. The country discovered this through the opposition. Why wouldn’t he issue a press statement saying the Bombadier was seized and the government is working hard to get it released?

4. He’s not clean himself and yet pretends to be squeaky clean. He sold off government owned houses for cheap. He bought a used ferry which ended up not working and later transferred it to the army. He has frustrated the CAG by drawing funds from the National Treasury to the State House and Intelligence Services to avoid scrutiny.

5. He believes that his own view of what is good and should be prioritized by the country is absolute, perfect and should not be questioned by anyone in the country. This has led to many pet projects, silly blunders, decisions that don’t make sense and destroying people’s lives for no good reason.

6. He treats his wife with contempt and in public. It is utterly disgusting to see the way he speaks to his wife and the kind of statements he makes with his wife around. He recently joked about dancing with the PM’s wife but couldn’t because the PM was known to be jealous. What kind of leader does this? These things should be left to the low lives.

7. He holds grudges deep in his heart, cannot let go and therefore does not have true friends. We’ve seen what he did to Yusuf Manji, Mohamed Dewji and others. He claims to have ‘forgiven’ Nape and yet mentions the issue over and over again.

8. He openly spies on his ministers and other appointees. He also spies on members of his own party! No true man spies on his fellow man unless there is something wrong with his head. He never condemned the release of recorded conversations from Nape, Makamba, Membe etc. By accepting apologies from these individuals, he has openly condoned spying in the country. It’s pathetic.

9. He is a hypocrite. For his 20 years plus as Parliamentarian and Minister and other top positions in government, he has never walked out due to corruption in the country. He has never never said a word against his party or government or leaders for not doing enough to weed out corruption. All of a sudden he wants us to think he is anti-corruption. Pure bollocks.

10. The numbers don’t lie. Tanzanians are poorer than they were in 2015. Look at official NBS data.

There’s a lot more. But these should suffice for now.

The President knows that no one supports him and his party. That’s why he used heavy police during the interim elections and will do the same in 2020. He believes he is the best president Tanzania ever had, why not have a fully independent NEC and a fair open ballot as a litmus test for his support? If that is true, wouldn’t millions of Tanzanians vote for him? He is scared of the electorate.

Good evening.
Very flimsy reasons.Afterall where do you get the idea that many Tanzanians hate Magufuli.Have you done any research?I guess not.

The reasons you have given shows clearly that you have other reasons for hating the President and not the ones you have mentioned.They are too flimsy as I have said.We know the main reason:Ameziba mianya mingi ya wizi,kama sio yote. Akiwaruhusu kuendelea kuiba,misifa itamwagika kama maji.Forget,magufulization is here to stay,akitoka Magufuli anaingia Majaliwa.Afadhali mzoee kuishi kwa kutumia mbinu halali.
 
He is not the choice of the majority of Tanzanians, he never was and never will be. The majority did not vote for him, my family did not vote for him neither did the majority of my neighbors, he was imposed on us by force, we have neither recovered nor healed from that. We are still grappling with what happened and what is going on , he has proved to be the most impopular president the country has ever known. Many have been intimidated to pretend to support or even love him i refuse to be one of them, I refuse to lie to myself.
 


Hii video imepandishwa YouTube week lakini ina views 845,000 comments 95% positive, sasa kitu kama hiki unakilinganishaje na jf?

JF ilikua ni zamani kabla social media hazijaja lakini saivi jf haina ushawishi wowote, imefulia

Huwezi kuona comment mbaya huko kwenye account za serikali mfano account ya ikulu tanzania hao wote wanao comment ni makada wananchi wa kawaida ni wachache sana wengi wanaogopa kutekwa
 
This what we call freedom of expression. You can write nonsense yet you get supporters.

JPM is another level in this country and in the world.
 
Mimi siku hizi sijisumbui na sababu, zimeshakuwa nyingi sana. Kwenye kuli support mmeenda mbali sana, mi silipendi tu. I hate him with passion and I don't need anymore justification for this hatred.
 
Mimi siku hizi sijisumbui na sababu, zimeshakuwa nyingi sana. Kwenye kuli support mmeenda mbali sana, mi silipendi tu. I hate him with passion and I don't need anymore justification for this hatred.
Wewe alikupenda nani zaidi ya mamako !? Hata mkeo anakutapeli tuu !
 
Wewe alikupenda nani zaidi ya mamako !? Hata mkeo anakutapeli tuu !
Poa, mama, mke? angalau wana utu,wana ubinadamu na wanathamini uhai wa wengine.Hawanaga yale maneno, "si mumteke, mpotezeni, si muwaue, waueni tu, wafungwe tu " . Binadamu unakosa utu halafu unataka usifiwe na kupendwa. Nikwambie tu, yana mwisho,endeleeni kusifia, pimbi wakubwa nyie.
 
Ila wengi mnoo tume mchukia haswa kwa maovu uonevu utapeli wake nk
Mkuu usipotoshe hakuna mtanzania ambaye hamuungi mkono mh. Rais bali tunatofautiana namna tunavyomuunga mkono.
Wako wanaomshangilia kwa mapendo lakini wako wanaomshangilia alimradi yao yaende.
Wako wanaosifia bila kujali matokeo huku wengine wakikosoa na kuhoji kasoro wanazoziona ili tupate kilicho bora zaidi... nk.
 
What he did to tundu lisu Ben sanane and many more will never be forgotten and one day he will be held accountable !!
 
Back
Top Bottom