Why many Tanzanians don’t support their President


Anayekubalika huwa hana hofu ya kushindwa uchaguzi.
 
Nawe tunakujua kuwa ni mpuuzi wakati wa JK ulimuita dhaifu, sasa Magufuli unamchukia kwa vile siyo dhaifu. Kafie mbali
Kuwa mdhaifu JK hakuondoi udikteta wa Jiwe. Kila mmoja ana lake, hivyo kafie mbali mwenyewe. Ebo!
 
umenisahau na mimi mkuu, tupo wawili sasa.
 
CC: Nyani Ngabu ... You were wondering why We dislike - actually hate - your pay master! Now You know, Sir!
 

Nachelea kusema hizo ni hisia tu.
Kama sivyo, tupatie ushahidi.
 
Wanaomchukia Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale waliyotimuliwa kwa vyeti feki
Na wasiokuwa na ajira mkuu, na wale wasiolipwa hela zao za korosho mkuu, na ndugu jamaa na marafiki wa Tundu Lussu, Azory, Ben saa nane....

Samahani mkuu nilikuwa nakukumbusha na hao pia. "Ila mimi namkubali km wewe"
 
twaweza ya akina maria sarungi anbao ni anti magu ndo utuaminishe, ungeleta utafiti uliofanywa na chombo ambacho msimamo wake ni huru tungekuamini...
Sijawahesabu. Ila soma report ya Twaweza. Asilimia ya watu wanaomkubali ilishuka kutoka 90% mpaka 50%.
 

He turnish his image himselves. He took us back to stone age no live parliament, MP is shot over 30 bullet no investigation no arrest, 1.5 trillion disappear is fine no one cares include yourself you are one of the fools who are letting our country dowm
 
Mleta uzi wewe ni nani mpaka utusemee haya yote?,beberu gani kakituma na umelipwa sh ngapi kwa kazi hii?
 
Wanaomchukia Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale waliyotimuliwa kwa vyeti feki
Wale waliouliwa ndugu zao, tekwa, fungwa kwenye viroba, potezwa, singiziwa kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha wenyewe wanampenda.
 
Achukiwe kwa lipi huyo?
Utekaji, uuaji, ufungaji watu kwenye viroba, uonezi, hila, ubabe, ubambikiaji kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, uvunjaji sheria na katiba aliyoapa kuilinda, matumizi mabaya ya madaraka, ukandamizaji wa demokrasia na haki za binadamu, uonezi, kuwabambika ufukara watanzania ambao hawakuwa nao, roho mbaya, wivu, chuki kwa matajiri na walionacho. Ukabila, udini.
 
kipimo kidogo tu cha namna raia wanavyomkubali Magu niule uzushi wa yeye kuumwa, watu walikuwa kimya kwa tafakuri za kina.

Jamaa anakubalika, raia wamekubali anachokifanya kwa Taifa hili.

huo ndio uhalisia.
 
Eti many? My foot!
You can cast aspersion and disparage him as you want,however one thing you should know.he is STILL the BELOVED President of MANY Tanzanians and thus won't change a thing!
 
Nyumbu ni wale wanaomuunga mkono kwa asilimia 100 wakati waTanzania wenzao wakiuwawa na kuumizwa.

Ni balaa. Ni damu kiasi gani imwagike mpaka watu waamke?

Hivi, kama kweli unakubalika na wengi, kwa nini wachache wasiokukubali uwatoe uhai? Uwatese? Uwapoteze?

It doesn’t make sense. Angalia Uganda. Museveni kila uchaguzi anashinda 90% plus. Lakini angalia anavoteseka na Bobi Wine. Anajua ukweli. Hakubaliki tena.
 
Mimi naamini Magufuli hapendwi na hata yeye anafahamu hili. Magufuli uteuzi wake 2015 huko huko CCM ulikuwa wa mizengwe na walioupinga ni wana ccm wenyewe. Waliambiwa wasiotaka waondoke ccm waende waendako. Hawakuondoka wakabaki ndani ya ccm.

Lakini kuna watu wanaitafuta chuki dhidi ya Rais nje ya ccm, wakati wanfahamu iko ndani ya ccm, na haungwi mkoni ndani ya ccm kwasababu kachukua chama kwa nguvu na anataka kuwafukuza wenye chama chao kwa nguvu. Wale wachache wanaomuunga ni kwa sababu wanatafuta vyeo ama wameeshapata vyeo sasa wanamlinda aliye wateua.
Siku akiondoka mtasikia ukweli, kwasasa wanaogopa mkono wake unazidi kuwa mrefu, na hasira zake zile.

Hawa wanosema ni wachache, ni kwa sababu wanataka ku justfy ushindi ujao ambao wananchi hawatashiriki. Hawatashiriki sio kwasababu hawataki kushiriki uchaguzi ni kwasababu wanafahamu matokeo yakoje, then kwanini wapoteze muda wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…