Why many Tanzanians don’t support their President

[QUOTE = "McCarthy, chapisho: 33260438, mwanachama: 450592"]
Mimi namkubali Rais Magufuli.
Unadanganywa na barua ndogo iliyomtandaonifiki. Mamia kwa maelfu ya wananchi wanamkubali na kumuunga mkono Rais.

Hapa kuna JF kuna mahitaji ya msaada wa kustawi. 6. Hata hivyo bado kuna tunaomsapoti Rais. Kwa hivyo ilikuwa ni wewe tu. Bahati mbaya na wewe haupigagi hata mpya tena.
[/ QUOTE]

Hizo takwimu umezipata wapi?
 
Wanaomchukia Rais Magufuli Ni mafisadi na wauza madawa ya kulevya na wale waliyotimuliwa kwa vyeti feki
Hao mafisadi ni kina nani na kwanini hawajapelekwa mahakamani ili hali kuna mahakama ya mafisadi? Kwa vyeti feki liliendeshwa kibaguzi sana hata wakichukia wapo sawa 100%. Unamfukuza mwalimu mwenye vyeti feki halafu unamuacha mwanajeshi mwenye vyeti feki kwasababu unaogopa akirudi mtaani atakuwa jambazi. Unapotunga sheria ya kuwakamata majambazi halafu ukafika kwenye nyumba ya kiongozi mkubwa ambaye mtoto wake ni jambazi halafu mkamuacha mtoto wake kwasababu baba yake ni kiongozi mkubwa basi sheria hiyo hugeuka kuwa ni uonevu. Sheria huwa haibagui mtu wala cheo.
Siyo lazima kumpenda mtu na siku zote huwezi kupendwa na kila mtu.
 
Asingwkuwa anasapotiwa na watu wengi asingekuwa RAIS. Ni RAIS kwa kuwa ni kipenzi cha watanzania wengi achilia mbali wezi waliokuwa kwenye misafara ya kijizi jizi haimpendi kwa kuwa anaikamua hadi utumbo mpana.
##ilikepresidendMagufuli.
 
Asingwkuwa anasapotiwa na watu wengi asingekuwa RAIS. Ni RAIS kwa kuwa ni kipenzi cha watanzania wengi achilia mbali wezi waliokuwa kwenye misafara ya kijizi jizi haimpendi kwa kuwa anaikamua hadi utumbo mpana.
##ilikepresidendMagufuli.
Kwahiyo Kurunzinza naye anapendwa sana na wananchi wake? Kwa sifa ulizoziweka hapa. Uwe unaweka na namba za simu kabisa maana mwenyekiti anapenda sana watu wa aina yako. Hapa ungelamba teuzi faster kama Jerry Muro
 

Be careful na unachoapa Bro: Izi ni lifetime commitments to your soul
 
10. The numbers don’t lie. Tanzanians are poorer than they were in 2015. Look at official NBS data.

There’s a lot more. But these should suffice for now. [emoji123]

is it the government work to make you rich? Mbna south Afrika ndo tajiri afrika lakini maskini wa kutosha:
 
Jamii forums ina downloads zaidi ya million. Bado mutandao mingine ya kijamii.

jamii forum has only 500K members, downloads doesnt mean total members: you can download an app twice or even more than this
 
He is the best president so far. You can't compare him with any president Tanzania ever had. You can not compare because of the population factor, the economy, technology and the opposition parties present in this era were not there that time.
Imagine the opposition which President Magufuli is subjected to - through the media alone. Image the amount of money given to the sellouts like Tundu Lissu by foreign business people to turnish the image of our President! Imagine! Our President is superb.
For your information, most of the points you brought are cooked and recycled. We have heard them many times - and they don't mean anything anymore! They are so monotonous that - no opposition party can use them to win even a single vote.
 

unajipa kazi ambayo haina mshahara: God himself hapendwi na kila mtu not even you ambae hatukujui but: Magufuli is one of the smartest president in Africa, Apart from Holding various positions in African development institutions, he is much admired with alot of citizens outside and inside the country: A good example is kenya, for the sake of simplifying your life because you have never visited any country outside and receive feedback just check comments on youtube: jamii forum is on the hater side we all know that: And thats the reason citizens are bussy comparing kenya vs Tanzania economies and at the end of the day complaining they are poor instead of going to work
 
Vipi familiza za Ben, Azory na Lissu wanamsaport huyo jamaa yako?


Kama una ushahidi magufuli anahusika kafungue kesi: Huyo lissu ameulizwa mara kibao but its still the same minds as the ones in jamii forum: No evidence no right to speak: ata mm naweza sema umeniibia ela kwenye mpesa yangu kwa sababu upo kinyume na ideas zangu kwa upande wa raisi:
 
Vipi familiza za Ben, Azory na Lissu wanamsaport huyo jamaa yako?

Je waliokufa kipindi cha vita ya idd amini, can they justify Nyerere is the most hated president in Africa: What about Mandela?
 
Uliwahi soma statistics, watu laki sita wa jf , ni sample ya inayo wakilisha watu mil 12 ambao ni wapiga kura,
 
Wakati wa awamu ya _JK twaweza walifadhiliwa na nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…