Why is sex so powerful?

Why is sex so powerful?

It's the idea of sex that is powerful, not sex in itself.

We chunguza ukiwa unataka kumbandua mtu akili inakuwa inaenda race. Ile shauku sio ya tendo lenyewe bali ya wazo la kufanya hilo tendo.
Ukikojoa tu na majuto yanakuja hapo hapo hasa ikiwa na mtu ambae sio sahihi.
 
kawaulize nguruwe jike ,kwann akiwa joto na ikatokea hakuna dume anauwezo kubomboa Banda hata liwe la chuma

Kwenda kutafuta dume popote lilipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sema kweliii??
 
Wakuu natumai hamjambo?

Twende kwenye mada.

Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.

Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..

Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?
Jiulize kwanza bila sex je ungezaliwa...!?
 
Mara nyingi Kama hauna kazi za kukuweka busy unauwezo wa kuwaza ngono na kuhisi ngono ni kitu chenye nguvu , ukiwa busy unapata pesa Sana hiyo ngono haiwezi ku-work out kwa Akili yako
Kazi haihusiani na nyege mkuu.

Watu wanatombana vitani.

Watu wanatombana kwenye njaa kali kwenye machimbo ya madini
 
Mara nyingi Kama hauna kazi za kukuweka busy unauwezo wa kuwaza ngono na kuhisi ngono ni kitu chenye nguvu , ukiwa busy unapata pesa Sana hiyo ngono haiwezi ku-work out kwa Akili yako
Ni kweli kabisa kama uko bize na unaona pesa unaingia huwezi wazia ngono labda kama huna shughuli utawaza nani nikatetemeke naye
 
Sex kwa Kiswahili ni nini? Mnakwepa au hamlijui neno la Kiswahili?
 
Ile siku ya mwisho watu wote wenye kuwaza ngono Kila wakati na kufanya mapenzi ovyo ovyo watagundua walikuwa wapumbavu.
 
Mawazo hayo yanakuja pind ukiwa huna kaz za kufanya au huna hela na hufkirii sehem ya kuipata zaid ni short-cut ila ukiwa busy na kazi alaf una hela hazo hisia sio rahis kukuinglia tutafte hela JOKES 😀😀😀 sijui nilitaka niendelee kusemaje but wakuu zagamuaneni tu haina namna tena piga miti sana had patoke cheche maana ndo kazi za siku hz hata now wapo watu wanakulana na hamna kitu unaweza kuwafanya
 
Back
Top Bottom