Mynd177
JF-Expert Member
- Dec 3, 2022
- 2,003
- 3,437
Wakuu natumai hamjambo?
Twende kwenye mada.
Hivi karibuni nimekuwa nikijiuliza kwann sex iko so powerful. Everythng seems to revolve around sex, music praises sex, movies, books, hata mada nyng hapa na kwenye forums nyngne sex imetamalaki.
Mpaka inaonekana kuwa sex ndo sole purpose ya mwanadamu. Usipokuwa mtu wa sex watu watakushangaa..
Je ni kwa nini sex iko powerful namna hii?