MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 33,561
- 53,572
Na wewe wacha uzoefu, halafu wewe ujitambue.Acha ulimbukeni wewe.
Na wewe wacha uzoefu, halafu wewe ujitambue.Acha ulimbukeni wewe.
Hata ufanyeje huwezi kuijua TZ zaidi ya mTZ. Hivi na wewe unaona unajitambua? Akili zenyewe za kiudaku-udaku.Na wewe wacha uzoefu, halafu wewe ujitambue.
Na wewe wacha uzoefu, halafu wewe ujitambue.
Ujuaji kwao upo damuni
Akitoka kwa zari anakuja kenya. Andaeni mrembo wa kujazwa mimba.
Hata ufanyeje huwezi kuijua TZ zaidi ya mTZ. Hivi na wewe unaona unajitambua? Akili zenyewe za kiudaku-udaku.
Ninajua zaidi yako binafsi, hilo kwangu tosha, sina haja ya kujua wanachojua wengine. Bora nimekupiga chini wewe basi. Halafu mdaku ni wewe na unachohusudu.
Fair kabisa, me naona watu wanashindwa kutofautisha mafanikio na kupendwa, unaweza kuwa unapendwa rakinj ukawa huna mafanikio hiyo itasababisha mapenzi kupungua na kuamia ambapo kuna mafanikio, me nachokiona ni kwamba now Diamond anaanza kupendwa zaidi kutokana na mafanikio yake ambayo yanafanya watu kuficha mapenzi yao kwa Ali Kiba kwakuwa hawana sababu za kujitapa mbele ya watu kutokana na mafanikio machache aliyoyanayo Ali Kiba, sasa kilichopo ni kwamba Ali kiba still anapendwa ila kisiri siri na Diamond anapendwa kutokana na mafanikio yake kwakuwa hawaoni aibu kujitaja mbele ya watu kuwa wao ni team Diamond. Tofauti ya KUPENDWA NA MAFANIKIO
Hahaa huyo ni mtanzania asili ya kenyamipasho unaiweza kaka,big up
!!!!!!! kumbe unajitutumuaga!!!Ninajua zaidi yako binafsi, hilo kwangu tosha, sina haja ya kujua wanachojua wengine. Bora nimekupiga chini wewe basi. Halafu mdaku ni wewe na unachohusudu.
aliwahi kuishi bongo.hiyo ndiyo nafuu yake.:becky:mipasho unaiweza kaka,big up
!!!!!!! kumbe unajitutumuaga!!!
Acha siasa kijana, unadhani angekuwa hapendwi angepata hayo mafanikio aliyopata? Diamond anapendwa since 'kamwambie' na ndicho kilichopelekea mafanikio yake, Diamond ni dizaini ya watu wenye haters wengi ingawa idadi ya wanaompenda inafunika idadi ya haters, na haters hao sio kwamba wote hawapendi mziki wake lah, ni wivu tu ndo unawasumbua. Ukimuuliza kwanini unamchukia Diamond jibu lake ni 'basi tu', cha ajabu huyo anayesema anamchukia kwenye simu yake kuna nyimbo za jamaa, akisikia video imetoka wa kwanza kwenda kumuongezea viewers YOU-TUBE. Namfananisha na mastaa wengine wakubwa duniani kama Cristiano Ronaldo na Mayweather, wana haters wengi sana, wanachafuliwa sana kwenye social networks but jinsi haters wanavyozidi kuongezeka ndivyo wanavyozidi kufanikiwa. Alikiba hana haters wengi, lakini pia hana fans wengi compared to Diamond