Why FBI ndani ya CHADEMA?

Why FBI ndani ya CHADEMA?

rosemarie

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Posts
6,887
Reaction score
3,446
FBI najua ni agency ya Marekani,inakuwaje wanatumia neno hilo kwa viongozi wetu?au ni wamarekani wanatoa huduma ya ulinzi?

attachment.php
 

Attachments

  • chadema.jpg
    chadema.jpg
    32 KB · Views: 1,440
Kazi kweli kweli Ubalozi wa marekani mnaliona hili?
 
mambo mengine yanachekesha sana. sitaki kucomment katika hili kwa hao wote wanaoonekana hapo nisije nikapigwa ban.
 
Uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana
sijui nikusaidiaje!!!!
 
Hivi mwigulu wameshamchukulia hatua kuvaa sare za jeshi?
 
FBI najua ni agency ya Marekani,inakuwaje wanatumia neno hilo kwa viongozi wetu?au ni wamarekani wanatoa huduma ya ulinzi?

attachment.php

Hawa wanaitwa wazee wa copy and paste,chama kiko programmed kama photocopy machine.
 
FBI najua ni agency ya Marekani,inakuwaje wanatumia neno hilo kwa viongozi wetu?au ni wamarekani wanatoa huduma ya ulinzi?

attachment.php

ulimbukeni tu. FBI wa machame huyu, check alivyolegea mikono
 
sijaona majadiliano ya hivi vyama vya siasa vina sera gani ya uchumi , elimu, afya n.k. mazungumzo yote ni ya juu juu tu na kukashifiana na kuleta mfarakano.
 
Back
Top Bottom