Kongosho
JF-Expert Member
- Mar 21, 2011
- 35,987
- 24,232
kinapika sana, hasa matembele
Kwani kile kibibi huwaga kinapika au unataka kuanza porojo zingine tu?
Kwani kile kibibi huwaga kinapika au unataka kuanza porojo zingine tu?
does the queen of England shit?
Ni kweli. Mwl alitoa mkono ampe kwa salam. Sasa yeye hakuvua gloves na mshua akamfanyia kweli na kifimbo mama akashika. Akili za Nyerere nyingi zilikuwa. He remains my hero.
Huwa ninajiuliza sana hilo swali hapo juu lakini sipati jibu...then nasikia huyu queen aliwahi kutana na mwalimu nyerere na alipomsalimu akiwa na gloves yeye mwalimu akamsalimu kwa kifimbo chake. did this really happen?
Nawasilisha wakuu!
Hii inatokana na kuwa anawageni wengi,sasa katika kupeana mikono inabidi avae cloves kuogopa viji germs,sasa kwa kua kila anapokua katika official appearance anakua kavaa cloves,ma designer waka kopi na kutoa ndio maana katika shuhuli zote classic za wa waingereza wanawake mavazi yao yanaambatana na kofia na cloves kama avaavyo queen no matter the weather iwe joto au baridi..fuatilia
does the queen of England shit?
acha unafki na uzandiki wewe,,,angalia picha apo chini,,shame on u
hizi sio zile stori za kizamani mfano tanzania nchi ya tatu duniani kwa upelelezi? hamna kitu kama hiki,JK alikuwa mtu makini hawezi kufanya hivyo na picha hapo chini haionyeshi gloves
![]()