Why Doctor Mpoki Ulisubisya?

je kwanini usichukue mtazamo kuwa anapelekwa cuba ku revolutionalize mambo ya tiba nchini na kuna umuhimu wake labda kwa bidii na uhadilifu wake,we shouldnt be too speculative
 
Ingependeza zaidi kama akipangiwa kuwa balozi wa kule Ubelgiji anapotibiwa jamaa
 
boss umeji limit sana kwenye kufikikiri,!!!!!yaani we umewaza kutibu tu!!!!afya ni kutibu tu.embu jiongeze biss
 
kwanini mawazo finyu??,Y not anapelekwa cuba ili aweze revolutionalize tiba nchini.je apelekwe mtu wa ngwini???we are too speculative!!
Balozi anakaa ubalozini, sio rahisi watu wamruhusu aingilie tiba za nchi husika maans balozi huchukuliwa kama spy
 
Huko anakopelekwa bado atakuwa analitumikia taifa Mama Tanzania.
 
Huko Lumumba mna vijeba kibao havina michongo, mngevipeleka kwny nafas za ubaloz na kumrudisha daktar bingwa kwny taaluma yake, yan kwa upunguf wa wa wataalam tulionao bado tunafanya utoto kama huu. Hapohapo professor faustin kamuzora mtaalam na mbobez wa informatics anapelekwa kuwa ras kagera huku mamia ya wanafunz wakiwa wanahitaj ujuz wake. Hicho cheo cha uras hata lemutuz anaweza kufit

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Balozi anakaa ubalozini, sio rahisi watu wamruhusu aingilie tiba za nchi husika maans balozi huchukuliwa kama spy
connection boss ni rahisi yeye ni professional imagine kwenye mashine,traning,i believe he can do better kwetu ku revolutionalize tiba nchini kumbuka anaonekana mkweli may be tutapona kwenye kupigwa.
 
Balozi anakaa ubalozini, sio rahisi watu wamruhusu aingilie tiba za nchi husika maans balozi huchukuliwa kama spy
Mkuu balozi ni mwakilishi wa rais. Ni rais wa Tanzania anayeishi Cuba. Miaka ya nyuma mabalozi walikuwa ceremonial, enzi hizi za diplomasia ya uchumi majukumu yao yameongezeka.
 
Ahaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ameshasema hapangiwi ukimshauri ndio unaharibu kabisa.
 
Kwani hawezi kukataa huo uteuzi?
Hawezi maana akikataa tu ataanza kufuatiliwa mpaka basi, kama ana tu Mali ataulizwa alizipaje?umezisahau kesi za uhujumu uchumi na utakatishaji fedha zinawalenga watu gani?
 
Aina ya siasa wanazofanya upinzani zinatabirika kabisa.
 
Nasikia alishindwa kujibu swali la kwa nini hadi sasa Lissu ni mzima wakati alipita mikononi mwake pale Dodoma Hospital?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…