Why do women love men behind bars???

you can't tell me what to do!

I 'm not trying to tell you what to do...freedom of speech and all that...don't just throw words around in an effort to instigate.

Is it so hard to be civil?!!
 
I 'm not trying to tell you what to do...freedom of speech and all that...don't just throw words around in an effort to instigate.

Is it so hard to be civil?!!

You are still telling what I should and shouldn't do......

And I've taken back my comments....
 
Nyani unaniacho hoi na majibu yako ya mkato!

Au ni stress za kushindwa kwa jamaa yako na Bwana mdogo Obama?

Anyway, unasaidia sana kuuchangamsha ukumbi bro.

Kudos!
 



As matter of fact we all know its not possible to change anybody si mwanaume si mwanamke...you can never ever change a person,ni kama ule msemo unasema you can take a man out of the hood but you can never take a hood out of a man....

N ahiyo comment namba 5 i think people need to understand and kukumbuka ule msemo usemao tenda wema uende zako na usongoje shukurani...kuna some people not only bad boys but in general they do something for you and expecting something in return if you happen to help someone do it for you but not expecting anything else...


They say politic is dirty game i think life in general is a dirty game too...don't you think?
 
Because women are dumb and stupid.....

This is unfair coment kwa wanawake mama zetu, dada zetu, wake zetu, wapenzi wetu na sisi wengine, wakombozi wetu.

Tukija kwenye swali la msingi, hayo ya new love kwa mfungwa yanapatikana ulaya tuu. Jela zao ni penitantiary ni raha tuu ili kumrekebisha mkosaji tabia ili awe raia mwema.

Jela hizo, zina mabig screen plasma tv, games, sports na lesons hivyo wafungwa wana acess ya kufanya mawasikiano kwa e-mail, barua na kutembelewa mpaka conjugal visit.

Lengo la yote haya pia ni kutoa fursa kwa bwana jela kutathmini -mabadiliko ya kweli ya tabia. Tena jela za Sweden ndio funga kazi, week-end unapewa ruhusa Ijumaa jioni kurudi Jumatatu asubuhi. Utaratibu wa parole umetokea huko.


Wanawake ndio wanamapenzi ya dhati kuliko wanaume,
Wengi wa wapenda wafungwa mapenzi yalianza kabla na
Wanayaendeleza hadi jela.

Pilli kuna wale wanaoyaanza jela-out of simpathy kuwa pasco amefungwa kifungo cha maisha nani atampenda?.

Mara baada yya Babu Seya na wanawe kuhumiwa vifungo vya maisha, nilihudhuria harusi moja ya heshima Diamond. Wakati wa kucheza muziki kama kaida ikapigwa blues ya kufungulia ndipo ukafuata wimbo wa
Ulu wimbo maarufu wa Babu Seya, watu karibu wote waliamka kucheza, hata wale wachagga wa kusubiri twist nao waliamka kama ishara ya kumhurumia. Kwenye huruma ndipo huota mapenzi ya kweli na kipimo cha mapenzi ya kweli ni wakati wa matatizo. 'Nyie wachagua wachumba kachagulieni msibani sio harusini'

La mwisho ni baadhi ya wanawake sio wanapenda bali wafantasize na hao waliofungwa kwa vitendo vya ukatili, hawa wanamatatizo ya kisaikolojia ya mapenzi yanaitwa Masochism. Wanawake hawa wanaitwa masochic women na wanaume wao wanaitwa macho men. Kundi hili hapata sexual fantasy kwa kufanyiwa vitendo vya ukatili wengine mpaka apigwe ama abakwe. Inadaiwa eti Zanzibar kuna mtu kaandika mlangoni mwa nyumba yake 'popo bawa karibu'!.

Zamani tulifikira hivyo kwa vibinti vya kichaga ni mpaka ngwala mikahawani au migombani/ midizini. Yashawahi nikuta mtu mmepanga vizuri tena mko mahali pazuri, mwenzio mara nguo hataki kuvua, mnakukurushana sana hatimaye unafanikiwa kuzivua ukifikiri umemaliza kazi kumbe bado, miguu inafungwa unakuwa ni ugomvi mtupu hatimaye unafanikiwa kwa kutumia nguvu. kumbe hiyo ndio furaha yake. They need to be conqured na wewe unaonekana the conquer ndipo lilipotoka neno umemkonga moyo wake.

Mwingine hakuambii utaona anakupiga ili umrudishie apate pain ndipo apate pleasure. Tofautisha hii masochism na kile kiwango cha aibu cha kawaida kwa mwanzo wa mapenzi, hawa masochic kila siku ndio mwanzo hakuna kuzoeana mpaka alie ndipo afike wakisikia jamaa ni jambazi, wanazimika na violence.
 

Wewe ni mwanamke au mwanamme?
 
You are so welcome honey!...that is why we have same denominator....smiley
Inajidhirisha hata kwako.......kwa mtu kama NN.Anyway mashori wanapenda magangwe,wanyambilisi,wakaksi na hata viwembe.Hii ni bonge la weakness lao ukitaka shori mkali basi kuwa kiwembe atakuja mwenyewe.I can say that women wana akili 1/2 halina ubishi.Samahani
 


Seriously i don't know what is your argument here...
 

Seriously i don't know what is your argument here...

kelly01,

Ana maanisha hata kwako kumwita mtu kama Nyani Ngabu "role model" na "honey" kunaonyesha nawe uko kama wale unao wazungumzia. Wote mnapenda watu wakorofi! Hii ukizingatia kuwa Nyani Ngabu haiishi kwenda lupango ya J.F. na kama Invisible angekuwa na Death Row bila shaka angeisha mtupa huko!
 

Unajua Fundi Mchundo wewe nilishaanza kukuheshimu sana hapa kwa busara zako lakini sasa naanza kuji second guess. Acha wivu ndugu yangu. Wewe kama huna demu na hujui kutema sumu usiwaharibie wenzio.
 
Unajua Fundi Mchundo wewe nilishaanza kukuheshimu sana hapa kwa busara zako lakini sasa naanza kuji second guess. Acha wivu ndugu yangu. Wewe kama huna demu na hujui kutema sumu usiwaharibie wenzio.

Wivu lazima, Mkuu. Kwa nini upendwe wewe tu? Ukizingatia wengine ni upright citizens ambao hata lupango hatujawahi kugusa! Lakini mimi nilikuwa namtafsiria kelly01 ujumbe wa Yo Yo maana inaelekea hakumuelewa.

Samahani kama nimekukwaza.
 
nyani na fundi mmeniua kinyama kwenye kutofautiana kimawazo kwenu alafu faster faster mkapatana!swafi sana dats de way it shud always b

abt this thread ila ni ukweli sometimes i hav been wonderin unakuta demu anatokewa na a guy ambae anafeelingz naye pia lakini de guy is so gud to her n cares alot abt her,ila demu atamtolea nje though ana some feelingz for him
ikitokea akaja mwanaume mwingine ambaye dat gal anajua fika dat guy aint gud ka huyo aliyeko kwenye waitin list n ana some vitu ambavyo even yeye hapendi still de gal atamkubalia n fall for him!!!

wataalamu wa hii idara aisee keep on tuelimisha maana ni very hard kuwaelewa hawa ndugu zetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…