Why do women leave men?

Unaomba pumzi maiti......

Kiongozi ! Salama? Nifanyie uungwana niunganishe naye huyo... Maana ni kama kusukuma mlevi kwenye utelezi[/QUOTE]

Salama mkuu.............aisee haya mambo bana...hivi anakuwaje boyfriend halafu ni soo boring, inawezekana kuna wanaopenda boring....ebana kimya mkuu
 
Dah!! Huyo yuko addictive ile mbaya na kweli haya makitu bana wewe unakuwa busy na BB yako hata haukumbuki kama kuna mtu uko naye

Noma ile mbaya sasa isije fikia mahala wanaJF wote tunaachwa sababu ya kuwa bize sana na hii kitu. Yaani mie akiingia tu na turn off kila kitu sitaki mchezo[/QUOTE]
Ahaaa ahaaa lol
 
wakuu leo option ya 'Reply with Quote' naona imeamka nazo.....naona mazingaombwe tu hapa
 
Kiongozi ! Salama? Nifanyie uungwana niunganishe naye huyo... Maana ni kama kusukuma mlevi kwenye utelezi

Salama mkuu.............aisee haya mambo bana...hivi anakuwaje boyfriend halafu ni soo boring, inawezekana kuna wanaopenda boring....ebana kimya mkuu[/QUOTE]


Kuna namna hapo! Niliishaambiwa nakupenda kuliko mume wangu.....mch wee ache tu....hapo vipi?
 
Salama mkuu.............aisee haya mambo bana...hivi anakuwaje boyfriend halafu ni soo boring, inawezekana kuna wanaopenda boring....ebana kimya mkuu


Kuna namna hapo! Niliishaambiwa nakupenda kuliko mume wangu.....mch wee ache tu....hapo vipi?[/QUOTE]
Mchungaji na wewe unakula vya haramu?
 
GY alimkosea sana! Wadada wa hivyo ni vicheche pori!wale hawafugiki

Mkuu ila wanaume wengine kweli wanaboa wewe umekaa nae baa baada ya kukupa attention yote wewe yuko bize na forum, na hii forum inasababisha mengi mtaani hamjui tu.Kuna rafiki yangu kila siku anagombana na mpenzi wake wakitoka yeye na BB yake tu kusurf. kila thread yumo tu, lol[/QUOTE]
Mhh BlackBerry! mwenzangu huwa inatupa company sana hii forum
 
2.Don't be PREDICTABLE. If a woman can guess what you're going to do or say, you're being predictable, if she can't guess what you're going to do or say, she'll always be wondering, women are much better at predicting behavior than men

3.Don't be BORING, when you are so predictable that NOTHING is new or different, then you are officially BORING, boring is also lack of adventure, passion, energy, humor and ATTRACTION.

Have a blessed weekend.

TF.

...kisha hu summerize; "...WANAUME NDIVYO MLIVYO!"

 
kwahiyo hapa mmekubalianaje sasa ili uwe msimamo wetu
 
Kumbe Mbu ni mwanamke? au sijaelewa hapa?

...astaghafirullah!

Mbu kwenye ku-summarize nakuachia hiyo opportunity lol, halafu umekaa wapi mbona sikuoni hapa Westminster Abbey

...ee bana wee, ili kupata better view muda wa '1st Kiss,' pale balcony,
nimeonelea bora kujibanza hapa karibia na South Africa Gate, nje ya B'Palace!
 
Back
Top Bottom