Why do women leave men?

Kuna siku msichana mmoja ambaye tulikuwa tunafanya naye kazi katika kupiga stori akaseme "My boyfriend is so boring and i don't know what to do" nilijisikia vibaya thou inawezekana alikuwa anasema ukweli kabisa

Unaomba pumzi maiti......
[/QUOTE]
Ahaaaa ahaaaa ahaaa lol
 
Kiongozi ! Salama? Nifanyie uungwana niunganishe naye huyo... Maana ni kama kusukuma mlevi kwenye utelezi
 
Make sure you reserve table for two you know what i mean

Hahahahahahahah lol
Leo home marafi zangu wako hapa
usisahau wako leo competition "best cocktail"
walioshindwa wananunua drinks kwa kila mtu

Mmhhh ka muda unaruhusu
itabidi tuende "advance stage"
usisahau porker set.. taraaaa
 
Kiongozi ! Salama? Nifanyie uungwana niunganishe naye huyo... Maana ni kama kusukuma mlevi kwenye utelezi
Ahaaa ahaaa Masa naona hauhitaji wale crack heads unaenda mdogo mdogo[/QUOTE]

GY alimkosea sana! Wadada wa hivyo ni vicheche pori!wale hawafugiki
 
Mi nilidhani tunaachwa tu, any way, wengine wanaachwa sababu ya hawajui wawafanyie wapenzi wao nini na wengine wanaachwa sababu ya tamaa tu za hao wanawake zao. nafikiri mwanaume akijua kucheza na saikolojia ya mwanamke vizuri hawezi kuachwa kamwe ila yeye atakuwa anaacha tu. wanawake tunaridhika na vitu vidogo sana, kama kusifiwa, kupewa vizadi vidogovidogo, kupendwa na kuthaminiwa hapo utakuwa umewin roho ya lady wako
Pia hawa wengine wanaangalia kama maslahi yao wakiona hawapati walichokusudia toka awali huwa hawakawii kutafuta sababu na kuwaacha wapenzi wao
 
Ahaaa ahaaa Masa naona hauhitaji wale crack heads unaenda mdogo mdogo

GY alimkosea sana! Wadada wa hivyo ni vicheche pori!wale hawafugiki[/QUOTE]

Mkuu ila wanaume wengine kweli wanaboa wewe umekaa nae baa baada ya kukupa attention yote wewe yuko bize na forum, na hii forum inasababisha mengi mtaani hamjui tu.Kuna rafiki yangu kila siku anagombana na mpenzi wake wakitoka yeye na BB yake tu kusurf. kila thread yumo tu, lol
 
GY alimkosea sana! Wadada wa hivyo ni vicheche pori!wale hawafugiki

Mkuu ila wanaume wengine kweli wanaboa wewe umekaa nae baa baada ya kukupa attention yote wewe yuko bize na forum, na hii forum inasababisha mengi mtaani hamjui tu.Kuna rafiki yangu kila siku anagombana na mpenzi wake wakitoka yeye na BB yake tu kusurf. kila thread yumo tu, lol[/QUOTE]

Unajuaje Kama Kila thread ? Labda anaadika bussiness plan......!
 
GY alimkosea sana! Wadada wa hivyo ni vicheche pori!wale hawafugiki

Mkuu ila wanaume wengine kweli wanaboa wewe umekaa nae baa baada ya kukupa attention yote wewe yuko bize na forum, na hii forum inasababisha mengi mtaani hamjui tu.Kuna rafiki yangu kila siku anagombana na mpenzi wake wakitoka yeye na BB yake tu kusurf. kila thread yumo tu, lol[/QUOTE]
Dah!! Huyo yuko addictive ile mbaya na kweli haya makitu bana wewe unakuwa busy na BB yako hata haukumbuki kama kuna mtu uko naye
 
Mkuu ila wanaume wengine kweli wanaboa wewe umekaa nae baa baada ya kukupa attention yote wewe yuko bize na forum, na hii forum inasababisha mengi mtaani hamjui tu.Kuna rafiki yangu kila siku anagombana na mpenzi wake wakitoka yeye na BB yake tu kusurf. kila thread yumo tu, lol
Dah!! Huyo yuko addictive ile mbaya na kweli haya makitu bana wewe unakuwa busy na BB yako hata haukumbuki kama kuna mtu uko naye[/QUOTE]

Noma ile mbaya sasa isije fikia mahala wanaJF wote tunaachwa sababu ya kuwa bize sana na hii kitu. Yaani mie akiingia tu na turn off kila kitu sitaki mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom