Why do women leave men?

...astaghafirullah!

...ee bana wee, ili kupata better view muda wa '1st Kiss,' pale balcony,
nimeonelea bora kujibanza hapa karibia na South Africa Gate, nje ya B'Palace!
Sunday nitakuwa Vatican Saint Peter's Basilica to witness a solemn beatification ceremony of Pope John Paul II
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Ukiishiwa tu halmashauri ya serikali ya kichwa cha mwanamke huharibika,anakutosa(japo sio wote).
 
Nikiunga kwa mtiriko wa kuanzia mwanzo hadi mwisho wa sredi, maneno yaliyobalishwa rangi kwenye sredi, na yakawa bolded napata hii sentesi

MORE ALONE YOU ME OTHER REALLY ATTRACTION NEVER WUSSIES ATTRACTION ATTRACTION AFFECTION ATTRACTION PREDICTABLE NOTHING BORING ATTRACTION
 
hiyo ni sentensi?
 
GY umeniacha hoi lol!!!
 
Nimeipenda kaka, Mwingine atakukubalia/kupa sababu amekuonea huruma tu, yaani umelia saana na vijizawadi vyako kavitafuna
 
Hahaha kaka inabidi uchunguze je aliyonayo kwako ni ATTRACTION au AFFECTION
 
Hapo hakuna AFFECTION ni ATTRACTION tu, Infact Im not fun of AFFECTION in such relationship Broda! wasaniii wengi siku hizi.
 
Ingekua wote wanaopata hizi infor wanazingatia, maisha yangekua rahisi saana kwa sie ladies. Nimefuarahishwa na suala la zima la attraction na affection - it is common knowledge kua the later ndio inatawala sana kwa most ladies.

Na nikweli inabidi guys wajue in most cases we know what they are about to do or what they think, in most cases our predication is on point.
 
Don't be PREDICTABLE. If a woman can guess what you're going to do or say, you're being predictable, if she can't guess what you're going to do or say, she'll always be wondering, women are much better at predicting behavior than men

that's the best approach.
 
Ingekua wote wanaopata hizi infor wanazingatia, maisha yangekua rahisi saana kwa sie ladies. Nimefuarahishwa na suala la zima la attraction na affection - it is common knowledge kua the later ndio inatawala sana kwa most ladies.

Na nikweli inabidi guys wajue in most cases we know what they are about to do or what they think, in most cases our predication is on point.
Ina maana Asha D wanawake wengi wanakuwa hawawezi kutofautisha kati ya AFFECTION na ATTRACTION???
 
Sunday nitakuwa Vatican Saint Peter's Basilica to witness a solemn beatification ceremony of Pope John Paul II

I will attend this, let me know ila naomba uvae colourful nguo au ushike bendera ya Tz niweze kukutambua pale St.Peters mana patashone..Ubarikiwe!!

Kuhusu topic: Kwangu mimi, the big reason ni 'end of excitement'.. yani excitement ikiisha I've to leave a man.
 
Hahaha BJ which excitement is that????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom