Why do women cheat...

Why do women cheat...

yeeah,, kwen kanisa letu, askofu ni baba..mchungaji, na hatuna utamaduni wa kuwa nahata mapadre wanawake sembuse maaskofu

So nimezoea heshima yake full ni BABA askofu!

weitaaaaaaaaa

Hawezi kuwa Babu au Anko? Lazima awe baba tu?
 
Hawezi kuwa Babu au Anko? Lazima awe baba tu?

haiwezekani...apo mkulu ni BABA tu..ankal askofu? haisound. Babu askofu? no way ni BABA tu hata kama ni BABU in the real sense. Apo ni kuchana nywele tu hata kama una kipara upo

si ndio am here!!!
ulikimbia mpaka nikaenda kumtafuta baba askafu aje asaidie hapa!!!

he binamu! u never know na mi nilikuwa namkimbiza kuku aloyetokea gafla hapa..amenipiga chenga sana
 
kumbe niogope nini wakati kichwa ndo kina ulimi wenye kutema sumu??

He! Hata mwezi haujapita ushaharibikiwa kichwani namna hii?
Ngoja nianze kazi upya!
 
he binamu! u never know na mi nilikuwa namkimbiza kuku aloyetokea gafla hapa..amenipiga chenga sana

mmemkamata sasa huyo kitoweo wenu au mnasubiri aje ajifiche miguuni penu

Thought you were in bed Mamushka! LOL!

no way mamushka will rather die walking than in bed!!! BTW biggy I was not supposed to be talking to you si bado nimenuna??!!
 
Mkuu... haya ni ma-insinuesheni....

Hehehe! Ngoja nimkontakti blurei! Mi babu yangu ni askofu. So nilimshangaa jamaa alijuaje kama wewe ni baba na wala si babu wala ankal.
 
no way mamushka will rather die walking than in bed!!! BTW biggy I was not supposed to be talking to you si bado nimenuna??!!

Jaribu siku nyingine. Si leo!
 
Kichwa cha weza kuwa ni cha joka la Kibisa hakuna sumu!

ndo lipi tena hilo?? unazidi kuleta mkanganyiko bana

He! Hata mwezi haujapita ushaharibikiwa kichwani namna hii?
Ngoja nianze kazi upya!

ujue kuna watu waharibifu humu ukiona hivo, na sihitaji kumtaja mtu mwenyewe na si watu....

Hahaha! Kiongozi nimeona juhudi zako za kulikomboa jimbo! Unayo kura yangu!

hao wamepotea wenye jimbo hilo, na wewe biggy unampa kura yako?? u kidn me sasa.....................
 
Hehehe! Ngoja nimkontakti blurei! Mi babu yangu ni askofu. So nilimshangaa jamaa alijuaje kama wewe ni baba na wala si babu wala ankal.

Askofu ni baba tu.... Kaizer is very right!!
 
Back
Top Bottom