Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Amen jina la bwana lihimidiwe!!
Naweza kukusanya kondoo nikachagua walio nona?
Kijana umebadili dini au ndio ileile dini yetu?
Aa wapi mpwa soma between the lines apo😀
Amen jina la bwana lihimidiwe!!
Naweza kukusanya kondoo nikachagua walio nona?
Kijana umebadili dini au ndio ileile dini yetu?
Kijana umebadili dini au ndio ileile dini yetu?
alah huko nako kuna probesheni?? ya muda gani sasa??
ndo umenikumbusha mbali sana when u said tht!!
heee binamu ulei nao una probesheni kumbe??? we tayari.....?
hahaaaaaaaa am speechlessmi ni mkatekumeni tu B! hata kufikiriwa kuingia probesheni bado!
Afu wewe ndo nilikuwa nakutafuta! Ngoja nikuPM.
alah huko nako kuna probesheni?? ya muda gani sasa??
heee binamu ulei nao una probesheni kumbe??? we tayari.....?
Hahahaaaa.... inaonekana we ni Mbwa Mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo, ukikaribishwa zizini utatafuna kondoo wote...
Aa wapi mpwa soma between the lines apo😀
Hiyo PM bado iko boda 😉
Usiwe na shaka mm ni mchungaji mwema ukinikabidhi kondoo walio nona.
Kumbe we sio mchungaji mwema, Mchungaji mwema ni yule anayechukua Kondoo waliokonda anawalisha ili wanone...
We askofu kanisa lako ni la kiroho au la kimapokeo?
Ama! Asalaaale!😀😀
We unapenda lipi?
Hebu nitumie pasiwedi yako........
We askofu kanisa lako ni la kiroho au la kimapokeo?
We unapenda lipi?
La kimapokeo!
teteteteteeee weekend spesho unataka kusoma viburudisho vyangu ..mwambie Robbot(Invisible) akuchungulizie
nitachungulia halafu nitamwambia,USIKASIRIKE🙂Halafu kuna mtu aseme ati watu wataacha kudumisha MILA homeboy? kwani kimapokeo si ndo kuna MILA ndani yake au sio😀