Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!
Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???
Jamanieeeeeeeeee...... Tusikilizane!!!
Soda ya kopo ni soda ile ile ambayo iko kwenye kopo, kwanza huitaji kubeba chupa empty wakati wa kwenda kununua, halafu nyepesi, ujazo mdogo, halafu tamu... then ukifungua inafanya psiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Kuhusu kipapatio na paja.... it's obvious kwamba kipapatio kina nyama kidogo wakati paja ndo kama hivyo....
Tumeelewana eeeeh?