Why do women cheat...

Why do women cheat...

eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!

Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???

Yeah nilisahau Koti la suti alafu niliazima nilirudi kubeba nikanogewa jumla.
Kipapatio ni kidogo kuliko paja, Paja zuri sana ukilishikilia lina nyama nyingi na misuli kuliko kipapatio.
 
Hahahaha soda ya kopo huijui Masaki?
Ni ile ambayo inawekwa kwenye kopo na sio kwenye chupa ni special kama take away. Hata radha yake tofauti na ya chupa. Hata bei nazo zinatofautiana.

Sasa inapoimbwa kwenye wimbo wa taarabu huwa ni fumbo ana wana maana hiyo hiyo uliyoainisha hapo juu? 🙂
 
Sasa inapoimbwa kwenye wimbo wa taarabu huwa ni fumbo ana wana maana hiyo hiyo uliyoainisha hapo juu? 🙂

dah Masaki ngoja niombe msaada wa baba askofu popote alipo!!!!
 
hahahaha, ngoja aje FL1 labda ndo atamwelewesha vizuri B!

Mie mambo ya pwani nitaweza wapi Kaizer ..we si ndo uko hapo karibu
mtafisirie hiyo tafsida ya mzee Yusuph ...🙁
 
hahaaaa bestlady wangu diku hizi majibu yako ni mkato duh!!!

heeheheheh si unajua bestlady jana nilikuwa black angalau leo niko white kidogo same as u eeeh?ila vidole vinagoma kutype
ama baada ya salaam mi mzima hofu na mashaka kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
 
eti uliacha hadi koti lako kule LOL!!!!!!!!

Fide haikinitoshi kipapatio nataka paja mieeeeeee......maana yake nini
na soda ya kopo je???

Walai waninitia tamaa....wataka paja weye la samaki?
 
heeheheheh si unajua bestlady jana nilikuwa black angalau leo niko white kidogo same as u eeeh?ila vidole vinagoma kutype
ama baada ya salaam mi mzima hofu na mashaka kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu
...dah!long time ile mbaya,lol!🙂
 
Walai waninitia tamaa....wataka paja weye la samaki?

kwaresma hii ujue!!!
nilikuwa nakusubiri utoe ufafanuzi wa hayo masoda ya kopo (jana uluniambia nisichanganye na kisamvu cha kopo) na hili la paja na kipapatio
 
kwaresma hii ujue!!!
nilikuwa nakusubiri utoe ufafanuzi wa hayo masoda ya kopo (jana uluniambia nisichanganye na kisamvu cha kopo) na hili la paja na kipapatio
ujue miye huwa nacheza tu milindimo ya pwani kumbe ina ujumbe mzito ndani yake.haya jamani tupeni ufafanuzi
 
ujue miye huwa nacheza tu milindimo ya pwani kumbe ina ujumbe mzito ndani yake.haya jamani tupeni ufafanuzi

Kaizer je kama wewe akiingia unamsahau leo namuuliza huyo kasepa....hahahaaa shauri yenu!! I warned you guys na staili za kina Masanilo
 
Back
Top Bottom