Why do women cheat...

Why do women cheat...

Pale cape town wapwa nilikula macho ya samaki kama nipo Chuda vile.
 
HAPA TUNAJADILI UCHUNGAJI,UTUME,UASKOFU N.K!habari za ku-cheat baadae.

nitarudi
 
Bado yuko kwenye Probesheni

alah huko nako kuna probesheni?? ya muda gani sasa??

Pole B wala sio wewe...wapo na wanajijua tu,,,, hulifahamu hilo neno B? sande skuli?😀
ndo umenikumbusha mbali sana when u said tht!!
heee binamu ulei nao una probesheni kumbe??? we tayari.....?
 
Amen jina la bwana lihimidiwe!!
Naweza kukusanya kondoo nikachagua walio nona?

Hahahaaaa.... inaonekana we ni Mbwa Mwitu aliyejivika ngozi ya kondoo, ukikaribishwa zizini utatafuna kondoo wote...
 
Back
Top Bottom