Mimi siishi nayo na mambo yangu yapo vizuri tu unaonaje hapo😅naomba urudie kusoma nilichokiandika, nimekutofautishia vitu umeshinda kuviona,unawez usiwe na kanisa ila ukamcha Mungu tu na vitu vikanyoka balaa kwasababu ni kanuni tu ya kufuata na sio wote wanajua hizo code,mfano mimi ni RC mzuri kabisa watoto wangu wote ni Rc lakini huwa nashibisha neno la Mungu na mafundisho kuliko kuamini makanisa,imani yako itakuponya ,kanuni zipo kwenye vitabu vya dini ukitaka kufanikiwa fanya moja mbili tatu hiyo ndiyo tofauti niliojiwekea na naishi nayo na inanisaidia vibaya mno
sawa ndugu nitasoma au ikikupendeza nitumie PMSoma historia ya wa Tibet
sawa ndugu nitasoma au ikikupendeza nitumie PMSoma historia ya wa Tibet
Nina kitabu cha hard copy ila unaweza tafuta historia yao tu hata kwenye mitandaosawa ndugu nitasoma au ikikupendeza nitumie PM
Unafahamu kuwa laana ni DNA?hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi.
😂😂😂 hata wanaoamini kwa sangoma si wanafanikiwa mkuu? kwa kuwa wanatii kanuni za kiroho ila ni za upande wa giza mfano wanatoa kafara, wanamiliki majoka 😂😂, nakutania bana sio wewe unafanya hivyo,naongelea general upande wa giza pia wanafanikiwa vizuri tu ila mafanikio na utajiri wao hauna muda ,wewe fanya tafiti wenye kupata utajiri wa masharti na nguvu za giza mwisho wao huwaje? kama sio ni mbaya na hawadumu na huo utajiri ,mkuu Mungu yupo na hakika anatenda vyema tuMimi siishi nayo na mambo yangu yapo vizuri tu unaonaje hapo😅
poa nitafuatilia ✌️Nina kitabu cha hard copy ila unaweza tafuta historia yao tu hata kwenye mitandao
Ni kweli kbisaUbongo wa binadamu hujifunza kwa haraka sana vitu vilivyo karibu yake, na kutoa maamuzi kwa uzoefu wa nyuma.
Hivyo hatua ya kwanza ya kukabiliana na hali hiyo ni kutambua kuwa ipo na kuanza kuifunza akili michakato mipya ya kupambana na changamoto
Mimi sipingi imani ya mtu ila napinga imani ya mtu kuwa ndio principles kwa kila mtu😂😂😂 hata wanaoamini kwa sangoma si wanafanikiwa mkuu? kwa kuwa wanatii kanuni za kiroho ila ni za upande wa giza mfano wanatoa kafara, wanamiliki majoka 😂😂, nakutania bana sio wewe unafanya hivyo,naongelea general upande wa giza pia wanafanikiwa vizuri tu ila mafanikio na utajiri wao hauna muda ,wewe fanya tafiti wenye kupata utajiri wa masharti na nguvu za giza mwisho wao huwaje? kama sio ni mbaya na hawadumu na huo utajiri ,mkuu Mungu yupo na hakika anatenda vyema tu
inavunjwa je?!Hoja yako ina ukweli fulani. Malezi na mazingira ya utoto yanaweza kufanya tabia au mifumo ya maisha ijirudie katika vizazi. Mtu anayekulia katika mazingira fulani mara nyingi huyaona kuwa ya kawaida hata akiwa mtu mzima, ndiyo maana wakati mwingine watu hujikuta wanachagua maisha au mahusiano yanayofanana na yale waliyoyaona kwa wazazi wao.
Hata hivyo, naamini pia binadamu ana uwezo wa kujitambua na kufanya maamuzi tofauti. Kupitia elimu, uzoefu na kujitafakari, mtu anaweza kuvunja hiyo mizunguko na kuanzisha mwelekeo mpya kwa ajili yake na vizazi vijavyo.
I'm reading some good stuff in here,There are ways of speaking, sitting, looking, acting, reacting, that are inherited from childhood.Some are lucky to be born in families that left them with behaviors that create a virtuous circlearound them. They’ve got a great behavioral inheritance.
Some are totally unlucky; they inherited behaviors that create a negative loop in a vicious circlea round their life. They are constantly met with failure regardless of their efforts and goodwill. They are barely aware of why they keep failing or struggling. They’ve got a bad behavioral inheritance.
The first group of people succeeds almost effortlessly while the second is hindered regardless of their efforts.
Imagine, boys who have never had a father figure in their life but have to assume a father figure role when they have children. They have no model in mind nor experienced the exercise of a father figure. They’ve got no behavioral inheritance here. They desperately look up to books on parenting and hearsay, and often struggle very much as
fathers.
Imagine girls who grew up with their single mom, whose values were fierceness, independence,
impertinence, forcefulness, defiance... all values which are adaptive behaviors to cope with raising kids alone.
Those girls might grow up taking those values as normal behaviors for a woman even when they wish to build a normal couple. Unfortunately they would fail, because those behaviors would constantly antagonize their partners.
Our behavioral inheritance could be a great asset or a burdensome liability. Behavioral inheritance most important areas are:
- Body language
- How to speak according to circumstances and get your way
- Purposefulness in life
- How and when to subordinate
- How and when to lead
- How to fight in public and in private
- Sacrifice to bear with
- Money and career
It’s important to take an account of your behavioral inheritance and consciously chart our own special life. Otherwise you are on autopilot left to repeat the life of your parents.
Behavioral Loops are almost destiny. They are difficult to break if they are negative, and also difficult to lose if they are positive. We mostly inherit our place in the world, leave a great behavioral inheritance to your progeny. It starts with you.
Thnnk you❣️Break generational curse! Hii shida iko karibu kila ukoo, vunja maagano (maroho) kama yapo! Ukiyakataa wewe utaokoa kizazi chako! Huo mzizi unahitaji mtu kujitambua kama ulivyotambua wewe dear, wokovu ni gharama! Hebu ba mchungaji Iceberg9 njoo msaidie mdogoetu huku mi nasinzia sijui😵💫
Ni hali ya kawaida , ubongo umehifadhi taarifa nyingi sana hisia tofauti tofauti hivyo ni ngumu sana kutulia bila kuufanyia mazoeziHii hunitokea mara nyingi
Duh kazi ipo hapaOur brains are wired to prefer what is familiar over what is healthy. Ulivyokuzwa utotoni ndiyo inashape attachment styles, how we love, regulate emotions, behave, work, and define what is acceptable or not. Vitu vichache sana hasa vya kitabia na kihisia tunajifunza ukubwani.
Kama umekulia mazingira ambayo siyo mazuri, step ya kwanza ni awareness; mfano “mzazi wangu ambaye hakunilea, hakua mtu mzuri na mimi inabidi nijitahidi kutokuwa kama yeye" watu wengi huwa hawafiki hapo, watalaumu kidogo, halafu wanaona sawa tu, mbona wameishi.
Mtu kama huyu na yeye anaenda kuzalisha watoto na mama tofauti na watoto wanakaa kwa mama zao labda anawaona mara moja kwa mwaka au pale anapoweza. Akijitahidi kuwa tofauti na baba yake, basi atatuma pesa za matumizi kwa watoto na atajiaminisha hapo yeye amelea kikamilifu na inatosha kabisa. Why? possibly kwa sababu hajawahi kuona mfano wa malezi bora ya present father inabidi aweje au anafikiri kama mama yake aliweza kumlea, basi na hata hawa wanawake wengine watalea tu hao watoto wake.
Breaking patterns requires conscious effort to unlearn harmful behaviors and consistently practice healthier ones, sometimes that means kuwacut off watu au family members wanaokutrigger au kukufanya urelapse kwenye old patterns (ndugu, marafiki, wapenzi etc.).
Many of us avoid that difficult work (often subconciously) and instead cope by telling ourselves that “if those before us survived these patterns, we will too”.
Unafahamu kuwa laana ni DNA?
Ndio maana hata biblia imeandika inarithiwa kizazi hata kizazi?
DNA ndio inabeba tabia na maumbile yetu,
Unaporithi vitu kama sura, rangi, sauti au gestures kutoka kwa mzazi ni sawa na kurithi vitu vibaya kama tabia na fikra ambazo ndio huwa identity yetu,
Laana ni pale unaporithi vitu negative kama nilivyotaja hapo juu na baraka ni pale unaporithi vitu ambavyo ni positive,
Laana sio maneno ndio maana huwezi kuivunja kwa maneno,
Nikirudi kwenye point yangu ili unielewe ni hivi "DNA zetu tunaweza zitengeneza upya kupitia matendo mapya, meditation na nia thabiti" na hiyo ndio dini ya kweli.
Mkuu ukikubali kujifunza,kubali pia kuwa open Minded.siyo kushikilia vitu mlivyo karirishwa sijui damu ya yesu,n.k.Siwadharau ila walokole mnabore mnoo..nieleze vizuri mkuu sijaelewa kuwa meditation kuwa sadaka? sio kama nakata mdeitatition ni tiba hapana, ila ni tiba ya kujiweka sawa kwa muda tabia ,meditation ni rehabilitation hiyo,sasa rehabilitation ni nini?
Rehabilitation is the process of helping individuals regain, maintain, or improve physical, mental, or cognitive abilities lost due to injury, illness, or disability, aiming to restore maximum independence and quality of life
hiyo ndiyo maana halisi lakini kilicho kwenye mada hapa tunaongelea laana zitokanazo na ukoo toka kwa baba mzaa babu,kwa babu alimzaa baba yako ksa pande zote mbili baba na mama yako yani hile chain ambayo itaenda kwa watoto wao,wajukuu na kizazi mpaka kizazi ni kitu kitakachotembea kizazi chote,hiyo meditation itafsnyaje kitu kilichorithishwa tangu enzi na enzi,
mfano utajitibu sawa kwa meditation kitu ambacho sio kama unapona nikujidanganya tu, mdau hapo min -me amesema alifanya meditation ikamsaidia ila tabia zikarudi kama zilivyo,hapo unakua hujatatua chanzo halisi cha tatizo ,sasa unakua unajipa hope umepona lakini bado,kuvunja hiyo curse sio jambo dogo kama mnavyosema ila ni nyepesi ukitumia DAMU YA YESU inayonena mema kuliko ya Abeli