Why do I love Russia

Dikteta Stalin aliua Takribani raia milioni 4 wa Ukraine kwa njaa mwaka 1932-1933 katika mauaji ya kimbari yaliyofahamika kama Holodomor
 
Dikteta Stalin aliua Takribani raia milioni 4 wa Ukraine kwa njaa mwaka 1932-1933 katika mauaji ya kimbari yaliyofahamika kama Holodomor
Wapumzike kwa amani
 
Unaipenda Rusia hapa JF lkn moyoni mwako unataman ukazurure na kuishi Washington
 
Unaipenda Rusia hapa JF lkn moyoni mwako unataman ukazurure na kuishi Washington
Sijawahi kutamani kuishi kote huko zaidi ya nchini kwangu tena kule milimani kwenye asili yangu
 
Muafrika kushobokea Urusi, China na Mataifa yote ya Kigeni ni "Unyani" na Utumwa. NEITHER RUSSIANS OR CHISESE NOR AMERCANS they don't give a *** about us Africans. Sisi hao wote wanatutumia tu.
Mleta uzi una Slavery Mentality ya kiwango cha juu sana, kusujudia Watu
 
Sijawahi kutamani kuishi kote huko zaidi ya nchini kwangu tena kule milimani kwenye asili yangu
Mh mkuu ukipewa offer ya green card ukaishi Washington na upewe offa ya kuishi upareni mlimani kule zahanati unaitafuta kwa hadubini .....


Kuna watu mna bet hata maisha yako 😀😀😀😀😀
 
Mh mkuu ukipewa offer ya green card ukaishi Washington na upewe offa ya kuishi upareni mlimani kule zahanati unaitafuta kwa hadubini .....


Kuna watu mna bet hata maisha yako
Ndugu yangu nimeishi sana nje kuna kila kitu sawa lakini sio kwetu.. Kuna vitu huwezi kuvipata kule.. Mimi niliamua kurejea kwa hiari yangu jamaa zangu wapo huko mpaka leo wanatamani kurudi lakini wanaogopa
Huko unakosema hakuna zahanati hizi za kizungu ndio kuna watu wana maisha marefu zaidi. Madawa ya kizungu yamejaa sumu
 
Andika kwa kutumia lugha ya taifa, ama kama vip bac andika kwa kirusi ili tuchangie.

Unaandika lugha ya mabeberu wa Magharibi kuisifia Urusi, duh mzee vip.
 
Andika kwa kutumia lugha ya taifa, ama kama vip bac andika kwa kirusi ili tuchangie.

Unaandika lugha ya mabeberu wa Magharibi kuisifia Urusi, duh mzee vip.
России НИКОГДА не было черных рабов, и Россия не создавала рынок для торговли черными людьми (1600-1800).

Россия НИКОГДА не участвовала в Берлинской конференции, чтобы разделить Африку, как кусок козьего мяса (1884 г.).

Россия НИКОГДА не колонизировала, не осваивала и не разграбляла ресурсы Африки (1914-1960).

Россия НИКОГДА не позволяла африканским лидерам скрывать украденные средства, использовать эти украденные средства для собственного развития, а затем возвращать эти же средства Африке в качестве кредитов.

Россия никогда не вторгалась и не дестабилизировала ни одну африканскую страну (Ливию, Сомали, Конго, Буркина-Фасо, Египет, Южную Африку и так далее).

Россия НИКОГДА не убивала ни одного африканского борца за свободу, но Великобритания и США убили сотни наших Спасителей, и тысячи вас, наших африканских борцов за свободу, все еще томятся в разных тюрьмах и застенках по всей Америке.
Кто убил Маркуса Гарви из Black Panther USA.
Кто убил Томаса Санкару из Буркина-Фасо.
Кто убил Патриса Лумумбу из Конго.
Кто убил Малкольма Икс. Черной пантеры.
Кто убил Муаммара Каддафи из Ливии.
Кто убил преподобного Мартина Лютера Кинга-младшего из афроамериканца.
Кто убил Тупака Шаркура.
Кто убил Фелу Кути.
Кто убил Стивена Бико из банту в Южной Африке.
Кто убил Соломона Малангу.
Кто убил 5 миллионов БИАФРАН.
... и так далее.

Те, кто сделал вышеупомянутое, продвигают нарратив о том, что «Россия» стала Бугименом ... Те, кто колонизировал Африку и в течение примерно 100 лет отказывался делиться своими технологиями с Африкой, хотят, чтобы Африка любила тех, кто им нравится, и ненавидела тех, кого они ненавидят.
Неа! Больше никогда!

Если Россия Бугимен, то запад сам черт

Запад и Россия должны найти решение своей проблемы. Хватит убивать невинных украинцев. Нет войне.
 
Kosa la mwenzako haliwezi kukutetea wewe kizimbani ndugu.

You can't exist by just support from China and India Mr. Put in
Asante kwa kuchangia mada
 
Hao Russia wametuongezea umaskini na sera yao ya kingese(Ujamaa), naanzaje kuwapenda?
Kuna ushahidi wowote unao onesha kwamba Urusi ililazimisha nchi yeyote kuufuata UJAMAA!? Nijuavyo, tulifuata UJAMAA kwasababu ya historia yetu wenyewe; tusimsingizie mtu kwa matatizo yetu; hatukushishikiwa bunduki kama tunavyo shikiwa sasa hivi. Imagine leo tunaambiwa turuhusu SERA za ushoga, tukikataa, tunawekewa KISU shingoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…