Duh[emoji23]Ni muda muafaka Sasa EU wazalishe gas Yao kwa style ya hapo chini.View attachment 2168628
Sawa Beberu wakigharibi...Ila nchini kwetu hata muuza karanga katika mataa ya magomeni anaishi bila kuiba, hiyo ndiyo faida ya ujamaa...gepu Kati ya walionacho na wasionacho bado ndogo, Tanzania tuna mabilionea 5000 ovaHao Russia wametuongezea umaskini na sera yao ya kingese(Ujamaa), naanzaje kuwapenda?
Sawa beberuHao Russia wametuongezea umaskini na sera yao ya kingese(Ujamaa), naanzaje kuwapenda?
Endelea na mauchawi yako sasa kumbe umenakili!,nilianza kufikiri na namna ya kukurudishia mke wako lakini itabidi ukae kwa kutulia tu,nazj for life mpk huyu mwamba atulie..😂[emoji23][emoji23]nimenakili mahali nisivimbe bichwa buuureee[emoji1]
Unamabilionea 5k na masikini idadi yao je?Sawa Beberu wakigharibi...Ila nchini kwetu hata muuza karanga katika mataa ya magomeni anaishi bila kuiba, hiyo ndiyo faida ya ujamaa...gepu Kati ya walionacho na wasionacho bado ndogo, Tanzania tuna mabilionea 5000 ova
Forbidden essay.Russia NEVER had black slaves nor did Russia create a market to trade black people (1600-1800).
Russia NEVER participated in the Berlin conference to share Africa like some piece of goat meat (1884).
Russia NEVER colonised, underdeveloped and looted Africa's resources (1914-1960).
Russia NEVER enabled a safety net for African leaders to hide stolen funds, use these stolen funds to develop itself and then grant the same funds back to Africa as loans.
Russia never invaded and destabilized any African country (Libya, Somalia, Congo, Burkina Faso, Egypt, South Africa, et cetera).
Russia NEVER killed any of African Freedom Fighter but UK and USA have killed hundreds of of our Saviours and thousands you of our African Freedom Fighters are still languishing in different prisons and dungeons all over America.
Who killed Marcus Garvey of Black Panther USA.
Who killed Thomas Sankara of Burkina Faso.
Who killed Patrice Lumumba of Congo.
Who killed Malcolm X. Of Black Panther.
Who killed Mu'ammar Al' Gaddafi of Libya.
Who killed Rev. Martin Luther King Jr. Of African American.
Who Killed Tupac Sharkur.
Who Killed Fela Kuti.
Who Killed Stephen Biko of Bantu in South Africa.
Who Killed Solomon Mahlangu.
Who killed 5 million BIAFRANS.
...et cetera.
Those who did the aforementioned are the ones pushing the narrative that "Russia" has become the Boogeyman... Those who colonized and for about 100 years refused to share their technology with Africa want Africa to like those they like and hate those they hate.
Nah! Never again!
If Russia is the Boogeyman, then the west the devil himself [emoji41]
The West and Russia should find solutions to their problem. Enough of the killing of innocent Ukrainians. No to war.
Usijali,soon EU watafuata gas kwa style hioHao Russia wametuongezea umaskini na sera yao ya kingese(Ujamaa), naanzaje kuwapenda?
Ni shiida.Unamabilionea 5k na masikini idadi yao je?
Unaishi Tz gani hiyo ambayo haina wizi? Wewe ni lazima utakuwa unatokea familia za kina Kikwete na Mwinyi ndio maana hata ulichokiandika we mwenyewe hukielewi!.
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji3064][emoji848][emoji35][emoji34][emoji35][emoji35][emoji34][emoji35][emoji35][emoji43]Endelea na mauchawi yako sasa kumbe umenakili!,nilianza kufikiri na namna ya kukurudishia mke wako lakini itabidi ukae kwa kutulia tu,nazj for life mpk huyu mwamba atulie..[emoji23]
Wakupuliza= na wakupuuzwa.Ni shiida.View attachment 2168642