Mbaya zaidi kwenye marejesho unalipa principal amount (10%) + Interest (5%) + insurance (2%) = 17%Mkopo huwa una bima, bima itawajibika kulipa mkuu.
Mkopo wa bank unakuwa na bima hivyo italipia..!! Lakini sio mikopo yote.Je mtu akikopa hela nyingi halafu akafukuzwa kazi au akafa?
Hebu nieleweshe mi mgeni kwenye mambo haya. Huyu jamaa mtoa post kasema riba ni 17% .wewe wasema 13m walipa 28m ,mbona ni zaidi ya 100% ??Et unakopa 13m unalipa 28m huu si wizi *****
Yani ni wizi mtupu alafu kuna madoni mjini wanapewa mikopo ya riba ndogo sana.Mbaya zaidi kwenye marejesho unalipa principal amount (10%) + Interest (5%) + insurance (2%) = 17%
Na kingine nachokiona kwa hizi benki nyingi elimu ya mkopo wanaitoa sana baada ya mteja kupokea mkopo, ila kabla ya kupokea mkopo kuna maswali huwa hawajibu na wakijibu hawasemi ukweli.Ndio maana kufanikiwa kwa kukopa Bank kwa wanaoanza biashara Tanzania ni ngumu sana sana na hizi Saccos zimesaidia maana mnajiwekea riba yenu ambayo haiumizi sio hao jamaa aisee ni hatari mno mno wengine wanatumia flat rate au utasikia reducing balance method ya kulipa mkopo ni hatari sana..