I rarely contribute on threads whose prime reason is discussing someone, but this got me! This is purely flawed phylosophy and logic. Who said that Nyerere was not predictable on matters of corruption and personal enrichment? Who said that George Washington was Chameleonic to the american public? Who said that Jesus was unpredictable on matters of faith? Who said that Mohammed (SAW) was unpredictable on matters of faith?
Unpredictability? Ooooooh, unajilisha upepo baba! Your tru motives are in the OPEN!
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?
You don't know why Nyerere supported biafra? Nyerere himself explained! He was against opression even when done by an African! You want to know why Nyerere allowed De-beers in Tanzania? Wasn't Mwadui under STAMICO? How many shares did de-beers own during Nyerere? No this cannot be exemplified as an example of Nyerere's unpredictability Zitto, NO.
Mkuu umeongea vema kabisa hapo, ina wezekana Zitto anamchukulia Nyerere Jujuju tu, Ni Ngumu Africa kufanya Biashara ya Diamonds Bila De-Beers kuweka mkono wake, hata kama Nyerere alikuwa na wa namna gani alikuwa hawezi kuvuka kizingiti hicho cha De-Beers (Diamond forever)
unaridhika na hayo majibu? Dont ever undermine my readings of Nyerere. He was unpredictable on Biafra. Can you imagine mwalimu kuwa timu moja na Boigny wa ivory coast? Unajua hakwenda OAU Summit ya egypt iliyojadili biafra akampeleka Kawawa na kukawa moto timu ya Tanzania ikakimbia? On mwadui, tanzania had 50% shares. Makaburu waliruhusiwa kufanya biashara Tanzania wakati hapakuwa na ruksa kufanya biashara. Unakumbuka ppt zetu hata ilitajwa SA marufuku? Unasema mwl was predictable!
Zitto,unaridhika na hayo majibu? Dont ever undermine my readings of Nyerere. He was unpredictable on Biafra. Can you imagine mwalimu kuwa timu moja na Boigny wa ivory coast? Unajua hakwenda OAU Summit ya egypt iliyojadili biafra akampeleka Kawawa na kukawa moto timu ya Tanzania ikakimbia? On mwadui, tanzania had 50% shares. Makaburu waliruhusiwa kufanya biashara Tanzania wakati hapakuwa na ruksa kufanya biashara. Unakumbuka ppt zetu hata ilitajwa SA marufuku? Unasema mwl was predictable!
Mh. hapa ndipo mie huwaambia watu wavae miwani ya fikra. Tuna tatizo kubwa sana la upofu watanzania. upofu wa kutojua kupima mambo na kushindwa kujiuliza kwanini? bado tunakurupuka kwenye mambo mengi. Ndio maana ikija hoja hawaipimi imelenga wapi na kwa nia ipi. Hawajiulizi huyu kasema meza je ni meza ipi? ya mbao au kumeza chakula! watakurupuka kusema "tuivunje, tumnyang'anye!!" mwisho wa siku ndipo wanajua waliambiwa kumeza chakula AIBU!why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?
Mh. hapa ndipo mie huwaambia watu wavae miwani ya fikra. Tuna tatizoubwa sana la upofu watanzania. upofu wa kutojua kupima mambo na kushindwa kujiuliza kwanini? bado tunakurupuka kwenye mambo mengi. Ndio maana ikija hoja hawaipimi imelenga wapi na kwa nia ipi. Hawajiulizi huyu kasema meza je ni meza ipi? ya mbao au kumeza chakula! watakurupuka kusema "tuivunje, tumnyang'anye!!" mwisho wa siku ndipo wanajua waliambiwa kumeza chakula AIBU!
unaridhika na hayo majibu? Dont ever undermine my readings of Nyerere. He was unpredictable on Biafra. Can you imagine mwalimu kuwa timu moja na Boigny wa ivory coast? Unajua hakwenda OAU Summit ya egypt iliyojadili biafra akampeleka Kawawa na kukawa moto timu ya Tanzania ikakimbia? On mwadui, tanzania had 50% shares. Makaburu waliruhusiwa kufanya biashara Tanzania wakati hapakuwa na ruksa kufanya biashara. Unakumbuka ppt zetu hata ilitajwa SA marufuku? Unasema mwl was predictable!
Why should I quit? I am going to deal with those who want to tarnish the image of this platform. Mind you, if you can dish it out then you should be able to take it with stride. It is ridiculous we are now debating over trivial issues instead of analyzing what Zitto brought to the table. Let this discuss the contents of the book and not the cover (grammar, tenses). Even- Who is Dat Family quarterback- Drew Brees, wouldn't put up with this.
unaridhika na hayo majibu? Dont ever undermine my readings of Nyerere. He was unpredictable on Biafra. Can you imagine mwalimu kuwa timu moja na Boigny wa ivory coast? Unajua hakwenda OAU Summit ya egypt iliyojadili biafra akampeleka Kawawa na kukawa moto timu ya Tanzania ikakimbia? On mwadui, tanzania had 50% shares. Makaburu waliruhusiwa kufanya biashara Tanzania wakati hapakuwa na ruksa kufanya biashara. Unakumbuka ppt zetu hata ilitajwa SA marufuku? Unasema mwl was predictable!
Suala la biafra (Nigeria) na suala la ogadenia (Somalia) ni suala linalofanana katika kila kitu. Lakini Nyerere akakubaliana na Biafra, na akakataa ya Ogadenia. Suala la debeer, hata mpaka linatia kichefuchefu hata kulikumbuka. Ingawa kuna watu humu wanalitetea. After all debeer na biafra walikuwa wakiristo anyway; ogadenians jee? waislamu.
Nyerere ndiye aliyepanda mbegu zinazoleta mijadala hii leo hii.
why did nyerere supported pan africanism and at the same time Biafra? Why did nyerere opposed south african capital and at the same time allowed debeers into our diamond?
....Huu ni uelewa wako au ndio UDINI unaendelea?...ZITTO KABWE IN WAR WITH NYERERE HISTORY, IN WAR WITH PERCEIVED RELIGIOUS WRONGS & IN WAR WITH HIMSELF
!