mangulumbwisi
Member
- Apr 19, 2012
- 77
- 22
Hivi jamani huu unaoitwa UVUMILIVU huwa una mwisho au hauna? Na ukifika mwisho unabadilika jina na kuitwa nini?
unaizungumzia movie au wewe?
mnhh hapo kazi ipo..
yeye anapenda nini?
mpira?kwenda mziki?
anzia na hobbies zake
tazama nae mpira,..mfuate bar akiwa anataka kurudi...
Pole sana Mkunde Original . Mwanaume mwenye tabia za aina hii ni kazi sana kuishi nae lkn Mungu akusaidie upate hekima itakayoweza kumbadilisha au Mungu akusaidie uweze kupotezea tabia zake. Nakosa hata cha kukushauri manake wengi washakupa mawazo mazuri naomba niungane na Mentor ktk kukuombea ili Mungu aifanye upya ndoa yako. Ukipata mabadiliko tujuze ili tumshukuru MunguHapo ndo nilikuwa napataka kwenye kugrow togather, narudi kule kule why did I get married? Yaani hata sielewi kwasababu nikianzisha idea lets do this itapingwa na itaishia hewani na mimi natafuta idea ingine itachambuliwa na kuonekana ni uharibifu wa hela na nyingine kutafutiwa sababu kwamba haifai haya ukisema yeye basi alete any idea so that we can go together anakwambia sina idea yoyote. ukinifatilia nilishaomba mtu anayejua kuogelea anifundishe hiyo ilikuwa moja ya idea ya kujilkep busy nikamuomba tujifunze wote week ends tuwe tunaogelea nikaambiwa nataka kumuua na maji akiwa mtu mzima wakati yeye hajui kuogelea nikaishia hapo maan ukiendelea sana inakuwa ugomvi kiufupi ni tabu bin shida looh
Hayo yote mkichunguza kwa makini tatizo linaweza kuwa limeanzia kwenye kutopeana Papuchi na dushelele kwa ufasaha. Wakati mwingine mkijaribu kusawazisha hapo mambo mengine yote hunyooka nakuwa kama siku ya Honey moon yenu.wengi hawapendi kufwata huko, kiukweli kuna wakati ndoa inaboa kichizi, na kuirudisha mahala pake inahitaji moyo haswa, mana umeshaanza kumchukia fulani, akisema hiki anakuboa, akitaka hivi anakuboa, kazi kweli kweli.
sijui hata nataka kuandika nini!!:doh:
well Mkunde Original pole mamii!
i hope na hili nalo litapita bana!
ryt?
Mkunde Original mke wa mtu uliechoka na ndoa, ndoa yenu ina umri gani? Mna watoto?
Dah pole sana inaelekea umechanganyikiwa kweli , lakini ndoa inataka uvumilivu, Kaeni mzungumze mmalize tofauti zenu, na wewe mbona umejikataa mwenyewe, yaani umekata tamaaa sana, haitakiwi kukata tamaa,
Habari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
chini ya miaka 5 tuna mtoto mmoja.
Hayo yote mkichunguza kwa makini tatizo linaweza kuwa limeanzia kwenye kutopeana Papuchi na dushelele kwa ufasaha. Wakati mwingine mkijaribu kusawazisha hapo mambo mengine yote hunyooka nakuwa kama siku ya Honey moon yenu.
kama kweli umeolewa angalia sana shetani atakuwa anainyemelea ndoa yako. hebu fikiria upendo wa kwanza pindi mnaoana huo ndo uwe platform ya kuona ni nini kimekoseka. mm huwa naamini kama ndoa imekaa say five years hata mitatu kuna mambo mengi ambayo mmefanya so inapotokea ume quit naona unapoteza vingi kuliko utakavyopata. maana naamini kama umeamua kuachana tu bila sababu ya msingi kama uzinzi na kifo(ambazo kibiblia ndo zimeruhusiwa kuachana) basi ujue utachuma laana tu maana mwisho wa siku utakuwa na mwanaumme mwingine wakati mme wako wa ndoa yu hai hivyo haitakuwa afya kwako na maisha yako yote!
Pole sana Mkunde Original . Mwanaume mwenye tabia za aina hii ni kazi sana kuishi nae lkn Mungu akusaidie upate hekima itakayoweza kumbadilisha au Mungu akusaidie uweze kupotezea tabia zake. Nakosa hata cha kukushauri manake wengi washakupa mawazo mazuri naomba niungane na Mentor ktk kukuombea ili Mungu aifanye upya ndoa yako. Ukipata mabadiliko tujuze ili tumshukuru Mungu
wanawake wanataka wanaume tuwe kama tv...
Ukitaka music,una badili channel,movie unabadili,news unabadili...
Ikikuboa una switch off..tv...
We are humans....sio tv...
Mkunde Original ungefunguka zaidi anakufanyia nini mpaka uko so down namna hiyo. Anakunyima kupiga naye show, au ni mlevi kupindukia, je ni mgomvi, halali nyumbani kwake?