Mkunde Original
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 807
- 647
- Thread starter
-
- #41
Aisee pole. Kama naimagine unachopitia. Hebu kwa imani yako mshirikishe Mungu; atakusaidia ku revive the reasons u married ur husband. Pole sana. Na mmekaa miaka mingapi? Mna watoto? Unafanya kazi? Ana kudharau? Anakutesa? Unampenda? Hajakuacha sababu anakuhitaji; wewe je unamhitaji? nna maswali mia kidogo but mshirikishe Mungu kabla ya yote.
The truth shall set u free.
wanawake wanataka wanaume tuwe kama TV...
ukitaka music,una badili channel,movie unabadili,news unabadili...
ikikuboa una switch off..TV...
we are humans....sio TV...
kikipita na kumalizika salama ntamshukuru mola^^
Transition period
^^
Pole mwaya vumilia yatakwisha.
duh pole mwaya
Wewe u love him ndo maana huondoki! there is sth that stop you, find it and cherish your love!tafuteni mtoto atawaunganisha
Wewe u love him ndo maana huondoki! there is sth that stop you, find it and cherish your love!tafuteni mtoto atawaunganisha!nenda gym ukafanye mazoezi! nendeni na mzee Serengeti kisha Zanzibar!find sth to get yourself busy!
Habari zenu za week end MMU??
Nimejikuta najiuliza hili swali jioni hii bila jibu, najua kuna movie ya kimarekani inaitwa hivi na nilishawahi kuangalia ila nimekosa jibu ilikuwaje kuwaje nikaolewa memory imekata kabisaaaa hapa nilipo sielewi hat kwa nini bado niko ndani ya hii ndoa. May be am not a good wife and nimejisahau sitimizi majukumu yangu kama mke ila kwa nini haniachi? If I examine myself yeah ninamapungufu ila na siwezi kuwa mkamilifu kama malaika am trying my level best but sioni mwisho wa hii ndoa. Kifupi nimechoka na sina guts za kutoka mwenyewe hadi nifukuzwe yaani akithubutu tuu kunitimua hata usiku wa manane atakuwa kanipa ahueni but at the same time am not sure if I can at all survive on my own thats why sithubutu kutimka on my own. Ila kwa nini inakuwa tabu bin shida kila leo na yaleyale ndo yanajirudia? Nahisi uvumilivu wangu unaelekea negative sijui nikiwa dataz wife itasaidia yaani niwe sijali lolote niwe bora liende kwangu yote yawe sawa..........................????
Mkiona hivi kama ujue maji yamenizidi nguvu na nahisi kuzama na nikiangalia kulia, kushoto mbele na nyuma hakuna hata kijiti cha kushikilia walau kunisupport nisizame.
Am so down Mkunde mimi..........
Binadamu wote ndo tulivyo
ukinunua gari ,siku za mwanzo utaliosha kutwa
na kuhakikisha liko vizuri
ukishalizoea tu,utaliacha na vumbi na hata kuli park CCM siku zingine
wakati mwanzo ulikuwa na wasiwasi ukizubaa litaibiwa..
ukijenga nyumba the same,utafagia kutwa na kupanda na kumwagilia maua
ukishaizoea tu...inakuboa kiaina si ajabu ukatamani nyumba ingine,gari ingine na kadhalika..
ukipata kazi mpya,unavaa vizuri na kuwahi officin mapemaa...ukishazoea tu..
unatamani kazi ingine,unaboreka hadi baasi...
we all want what we don't have....its a human nature
tulivyo navyo tunavi take for granted...
Hobbby zako ni zipi hizo?
by nature binadadamu tuna grow kila siku
sasa kwenye mahusiano mnapaswa m grow together ..
na sio ku grow apart....
hilo ndo tatizo lako...
find a way muweze ku grow together....
sababu process ya ku grow kwa binadaamu ni ya lazima
mkiendelea ku grow apart ,mtaachana tu mwishowe
She cannot survive on her own,so ni economic reason inayomfanya asi break kwenye ndoa
na might be a reason iliyomfanya akaolewa na huyo jamaa,na ndio maana mmewe anamshangaa anapotaka mazungumzo wakati he has not changed
Hapo ndo nilikuwa napataka kwenye kugrow togather, narudi kule kule why did I get married? Yaani hata sielewi kwasababu nikianzisha idea lets do this itapingwa na itaishia hewani na mimi natafuta idea ingine itachambuliwa na kuonekana ni uharibifu wa hela na nyingine kutafutiwa sababu kwamba haifai haya ukisema yeye basi alete any idea so that we can go together anakwambia sina idea yoyote. ukinifatilia nilishaomba mtu anayejua kuogelea anifundishe hiyo ilikuwa moja ya idea ya kujilkep busy nikamuomba tujifunze wote week ends tuwe tunaogelea nikaambiwa nataka kumuua na maji akiwa mtu mzima wakati yeye hajui kuogelea nikaishia hapo maan ukiendelea sana inakuwa ugomvi kiufupi ni tabu bin shida looh
Ndoa ni taasisi nyingine tena ndoa ni zadi hata ya BOT kwa taarifa yako.Soma signature yangu ndiyo utajua maana ya ndoa
unaizungumzia movie au wewe?
Mumeo kwani ni mzee?
mnhh hapo kazi ipo..
yeye anapenda nini?
mpira?kwenda mziki?
anzia na hobbies zake
tazama nae mpira,..mfuate bar akiwa anataka kurudi...