Prisoner 46664
JF-Expert Member
- Dec 18, 2010
- 1,948
- 1,238
Karibu sana Prisoner.....LOL..
I need to call you FP
Talking to a good listener is indeed therapeutic..
Kaka niamini, akitoka FP na wifi AshaDii ujue na mie kwa busara kiduchu nafuatia. Mi niliambiwa na wazazi i was born to bring peace everywhere i go. Japo niko kama zimefyatuka kiduchu ila nafaa faa kidogo aisee.
Ile supu ya mbuzi ipo palepale. Manake vitumbua nlivyokula kwenu lazma nilipe. Nimemfundisha wifi kupika mtori, dont be disappointed lol
Ulifanya jambo jema sana dear. Na pia anaonekana kuwa mwenye busara huyo mshauriwa nimempenda. Bahati mbaya kuna wengine huwa hawapendi kupokea ushauri mpaka unajiuliza kwanini sasa anakuambia au amekuja kwako ili iweje hupati jibu basi unabakia kunyamaza tu.hilo ni swali ambalo nimeulizwa dakika chache zilizopita toka kwa rafiki yangu.
Huyu mtu hatupo close saana, ila naweza kusema ni rafiki. huwa tunaongea once in a while na mara nyingine kuombana ushauri.
Leo alinipigia akiwa na hasira sana, na kunihadithia jinsi watu fulani walivyom-treat vibaya baada ya kumaliza kuwafanyia kazi yao. kwa bahati mbaya/nzuri kazi ilishafanyika, sasa kachanganyikiwa sana hajui hata awafanye nini hawa watu.
baada ya kumsikiliza maelezo yake yoote, nikaanza kumshauri, na kwa kweli nilifanikiwa kumfanya achukulie kila kilichotokea in a positive way, na mwisho wa mazungumzo akajikuta hasira zake zote towards wale watu zimeisha kabisa...... akabaki ananiuliza "why did I call you?" nikamwuliza kwa nini? akaniambia nilitamani kuongea na mtu ambaye ataniongezea hasira ili nipate nguvu za kugombana na hawa jamaa ili haki itendeke. sasa wewe umenifanya the opposite. nikabaki nacheka tu.
tunapotokewa na watu (wawe wa karibu sana na sisi au mtu ambaye umekutana naye tu) wakatuambia makwazo yao, mimi naamini lengo lao kubwa ni kupata faraja kwa kile wanachokipitia, na siyo kumfanya ajisikie dunia inamwangukia. hata kama unaona kwa hali yoyote ile huwezi kutatua tatizo lake, the least thing you can do ni kumfanya angalau aone it is not the end of the world...... umuweke awe positive na kila kitu kitajipanga kadiri muda unavyoenda, wanasema time heals.
Nawatakia siku njema wapendwa wangu
ha haaa, mambo ya kukutana na kisiki cha mpingo, lol!Ulifanya jambo jema sana dear. Na pia anaonekana kuwa mwenye busara huyo mshauriwa nimempenda. Bahati mbaya kuna wengine huwa hawapendi kupokea ushauri mpaka unajiuliza kwanini sasa anakuambia au amekuja kwako ili iweje hupati jibu basi unabakia kunyamaza tu.
hahahaha Si unakumbuka ule ugali niliopika siku ile si ndio unataka nimfundishe manake uliupenda sana .yaani kukufagilia kote huko kumbe........
haya, mfundishe hivyo hivyo bana.....
mambo yangu poa dear, hofu kwako
Nimekutana navyo mno hadi sipendi tena mpaka niwe nimejiridhisha kabisa na ninaeongea nae. Hata hivyo ulimfanyia jambo jema watu kama wewe sio wengi dear nahasa wanaoweza kuaminiwa hata ktk mambo madogo. Inapendeza hasa mtu anapojisikia yuko salama kukwambia kinachomsumbua moyoni mwake ie unaweza kuaminikaha haaa, mambo ya kukutana na kisiki cha mpingo, lol!
kwa kweli mshauriwa alijitahidi kupokea li-ushauri langu kama lilivyo, ila matokeo yake ndo hayo akaanza kujilaumu bora asingenipigia.....
umeona eeeh! ndo maana nikaku-recommend..... kila kitu kilikuwa perfecthahahaha Si unakumbuka ule ugali niliopika siku ile si ndio unataka nimfundishe manake uliupenda sana .
hahahahaha asante rafiki.umeona eeeh! ndo maana nikaku-recommend..... kila kitu kilikuwa perfect
asante sana my dear......Nimekutana navyo mno hadi sipendi tena mpaka niwe nimejiridhisha kabisa na ninaeongea nae. Hata hivyo ulimfanyia jambo jema watu kama wewe sio wengi dear nahasa wanaoweza kuaminiwa hata ktk mambo madogo. Inapendeza hasa mtu anapojisikia yuko salama kukwambia kinachomsumbua moyoni mwake ie unaweza kuaminika
Hiyo ni gift from God itumie vema na Mungu akuzidishie.asante sana my dear......
najisikia vizuri ila wakati mwingine huwa najisikia kama nimetwishwa mzigo fulani hivi......
kuna wamama huwa nawaamkia kabisaaaaa, lakini huwa wananiamini saana kuniambia mambo yao ya ndani kabisa niwape ushauri. mwanzo nilikuwa naogopa sana, saa hizi nimeshazoea, naweka na kautani huko kwenye ushauri, lol!
Amina my dearHiyo ni gift from God itumie vema na Mungu akuzidishie.
shukrani ChocsGood deeds
...mostly welcome loveshukrani Chocs