Ze burner
JF-Expert Member
- Jan 5, 2011
- 514
- 84
Kwa mujibu wa wikipedia inasemekana kuwa nchi ya china inaongoza kwa uzalishaji wa magari ambapo kwa mwaka 2009 china ilifanikiwa kuzalisha magari 18,264,667 kwa mwaka ambayo ni mara mbili ya japani iliyozalisha magari 9,625,940 zilkifuatiwa na USA, south Korea na
Brazil. Pamoja na wingi huo wa magari yanayozalishwa nchini china hakuna hata kampuni moja nchini humo inayoingia katika kumi bora za kampuni zinazozalisha magari kwa wingi duniani.
kampuni zilizomo kuanzia namba moja ni Toyota, general motors (gm), volks wagen, ford, Honda, nissan, peageot, hundai, suzuki na fiat. hii ni kusema kwamba nchi ya china ina viwanda vingi vya magari kuliko nchi zote duniani ila inawezekana ni small and medium scale industries.
hata hivyo kwa idadi kubwa ya gari zinazozalishwa nchini humo tungetaraji kuona soko lake ni kubwa sana hasa katika nchi zetu hizi tusiyojali saana mambo ya ubora sasa kwa nini hazijapata umashuhuri huo.
kama kuna mwana JF ambaye anatumia gari la kichina au ni fundi mtueleweshe hili ili tujue mapungufu ya gari hizi........!!!!!!!!!!!!!