why chadema na ccm tuu????

Mujumba

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
853
306
Tanzania kuna lundo la vyama vya siasa lakini maongezi makubwa na mijadala mbalimbali inahusu CDM na CCM vyama vingine viwapi?? wapi UDP,PPT-MAENDELEO,TLP,DP,SAU etc?? kwanini Tendwa asianze kufuta hivi ambavyo havieleweki vinafanya nini kuliko kutetea kitumbua chake kwa kuishambulia CHADEMA??
 
Jambo ambalo unapashwa uelewe ni kwamba Tendwa anatekeleza ajenda iliyoanzisha na CCM, ambayo lengo lake nikuiingiza CDM katika mazungumzo yasiyokwisha. Mbinu hii ilitumika kwa CUF kwa mafanikio makubwa katika miaka ya 1995 hadi 2007. Huu mkutano wa vyama vya siasa ulioitishwa na Tendwa, ulilenga kuweka mazingira muafaka kwa jambo hilo.
 
Tanzania kuna lundo la vyama vya siasa lakini maongezi makubwa na mijadala mbalimbali inahusu CDM na CCM vyama vingine viwapi?? wapi UDP,PPT-MAENDELEO,TLP,DP,SAU etc?? kwanini Tendwa asianze kufuta hivi ambavyo havieleweki vinafanya nini kuliko kutetea kitumbua chake kwa kuishambulia CHADEMA??

kwa sababu tendwa ni mlezi wa hivyo vingine vyote. viko kwenye payroll ya ccm, ili kuzuga upinzani. Tendwa anaichukia CDM kwa sababu hakiko kwenye payroll ya ccm
 
yup, that is why tendwa haipigii kelele tena CUF. iko mfukoni mwa ccm
 
kwa sababu tendwa ni mlezi wa hivyo vingine vyote. Viko kwenye payroll ya ccm, ili kuzuga upinzani. Tendwa anaichukia cdm kwa sababu hakiko kwenye payroll ya ccm

kumbe eeeh?
 
unaikumbuka propaganda ya mahita kuwa vile visu vyenye vishikio vya rangi ya blue na nyeupe kuwa ni vya cuf??????????? wakati hadi leo vinakatia nyanya, propaganda ndo ziliimaliza cuf mpaka leo hawana lolote. Wanachofanya kwa sasa wanatafuta ni kwa namna gani wataiingia CDM mfukoni km cuf
 
Tanzania kuna lundo la vyama vya siasa lakini maongezi makubwa na mijadala mbalimbali inahusu CDM na CCM vyama vingine viwapi?? wapi UDP,PPT-MAENDELEO,TLP,DP,SAU etc?? kwanini Tendwa asianze kufuta hivi ambavyo havieleweki vinafanya nini kuliko kutetea kitumbua chake kwa kuishambulia CHADEMA??

Mwenye akili timamu hapigani na mgonjwa. Tendwa ana akili timamu.
 
Tanzania kuna lundo la vyama vya siasa lakini maongezi makubwa na mijadala mbalimbali inahusu CDM na CCM vyama vingine viwapi?? wapi UDP,PPT-MAENDELEO,TLP,DP,SAU etc?? kwanini Tendwa asianze kufuta hivi ambavyo havieleweki vinafanya nini kuliko kutetea kitumbua chake kwa kuishambulia CHADEMA??

sababu kubwa ya mijadala kuwa ya Chadema na CCm ni kuwa Forum hii imetekwa nyara na Chadema members na viongozi wao na wanaitumia katika kuufahamisha na kuongopa mambo mbalimbali hapa nchini.
 
Back
Top Bottom