kwa wanawake inawezekana rangi ya pink bi kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?
Duh, masharo munakazikwa wanawake inawezekana rangi ya pink bi kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?
kwa wanawake inawezekana rangi ya pink bi kutokana na yale maumbile yao ya kike kwa ndani. sijui nimeeleweka? kwa wanaume hiyo asili ya bluu ni nini?
rang n rang ila wanawake wanapenda rang zakung'aa
Na wanaume wanapenda rangi za uchafu
Na wanaume wanapenda rangi za uchafu
Researches carried out worldwide on your question concluded that: Colour preferencesamong the sexes have a biological basis rather than a cultural one. try to google and you will get lot of leterature on this topic
dah! inawezekana ila ngumu kumeza