Too picky??Because am too selective.
Wakati wa Mungu haujafikaNi bora kuwa single kuliko kuwa na mahusiano yasiyofaa yasiyochipua chochote wala yasiyonawiri.
Hahaaa tengua kauli haraka sana.I am single because i deserve better and i wont settle for less
Why? Kasema kama ningeulizwa hilo swali ningejibu hivo lol hahhahahhahahahaHahaaa tengua kauli haraka sana.
Alafu siku hizi unanichunia sio vizuri hivyo ujue.! [emoji26]Why? Kasema kama ningeulizwa hilo swali ningejibu hivo lol hahhahahhahahaha
Hapana, na why nikuchunie??? Naingia kwa manati sanasiku hiziAlafu siku hizi unanichunia sio vizuri hivyo ujue.! [emoji26]
Maybe trippleYou want to be double?
Utampata wakati ukifika huku ukiomba sana Mungu akuwwzesha kukupa chaguo liliko boraNiko single sababu sijapata wa kuwa nae pamoja.
Ushauri mzuri huu adi raha.Utampata wakati ukifika huku ukiomba sana Mungu akuwwzesha kukupa chaguo liliko bora
Njoo pm nikwambie kitu.Hapana, na why nikuchunie??? Naingia kwa manati sanasiku hizi