Why are jews so smart?

Why are jews so smart?

Obama before became the president, jews called him names and saw him as blackman incapable to be the president of United States. What happened after he won the election, jews dig him and came with claim Obama's mother was jews so he is jews too!

Those are Jews! Before you become some one you are not jews, after you become someone they come out with false chronology about people and say you are Jews!
 
FB_IMG_1516022594676.jpg
 
True say!!!!True say!!!!
 
Acha kukataa vitu ambavyo ni wazi. Race gani inaongoza kwenye Science and Technology? Huyo China unayemsifia kila siku anaiba technology kutoka Western world na Russia ambao wote ni wazungu

Hiyo simu unayotumia imetengenezwa na mzungu. Hilo gari unalotembelea limetengenzwa na mzungu. Hizo nguo unazovaa zimetengenzwa na mzungu.

Unanipa mifano ya waafrika walioendelea katika sanaa na michezo ? Tangu lini dunia ilibadilishwa na sanaa na michezo? Boss, dunia inabadilishwa na Science and Technology .

Boss, wazungu wanaitwa Caucasians. Maana yake ni kuwa asili yao ni milima ya Caucas amabyo ipo Southern Russia karibia na nchi ya Georgia. Scottish people ni jamii moja wapo ya wazungu Anglo Saxons
Hizo habari hata akina Christoph Meiners na Johann Friedrich Blumenbach (waliokuwa wanafanya huu utafiti) walikuwa wana bwa bwaja tu kama Charles kwenye evolution of man na ukisoma ni upuuzi mtupu,eti Caucasian ndio ilikuwa race ya kwanza duniani,hivi black ndio inatoa white au white inatoa black?
Michael Jackson si black yule?
Ila kuna mzungu alibadilika kuwa mweusi?
Hawa watafiti wenyewe re search zao za kipuuzi tu,eti caucasian wengine ni dark in skin sababu ya jua.
 
Evolution is scientific fact. Hilo neno theory kwenye evolution lisikudanganye. Kuna mamia ya evidence ku support evolution through natural selection. Kuna viumbe hai vime evolve na vikawa recorded kwenye maabara. Kuna archeological evidence etc
Evolution sio upuuzi,its fact
 
We unazungumza kitu gani?Ukiacha sports ambapo inaonyesha waafrika ni jinsi gani tulivyo strong muziki nakupa sasa kama ulikuwa hufahamu kwamba ina define IQ ya mtu ndio maana mleta uzi ukisoma alipoelezea jews na quote mstari

It goes without denial that Jews are ahead in all aspects of life such as engineering, music, science and most obvly in business.

Ushawah kuwaskia Wolfgang Mozart na Ludwig Beethoven? Hao wote waliishi 18th Century. Niambie msanii gani equivalent wa kiafrika wa muda huo alitengenzea mziki quality ya hao jamaa niliowataja? Ukweli mchungu kipindi hicho waafrika tulikuwa porini tunacheza ngoma ambacho ni kifaa ambacho akihitaji akili nyingi

Inabidi nizidi kukushangaa shooting and running ni sports hizo,hapo tunawapata watu kama akina Tiger Woods,Serena yule mama anayecheza Tenis n.k Mkuu dont you see?
Michezo kwa taarifa yako ina define IQ ya mtu na ni kitu kizuri sana kuwahimiza watoto,japo waafrika tunazaliwa na hivyo vipawa na kupuuzia kama wewe, na unawaza tu science and tech,utafanyaje science hali ya kuwa akili imedumaa?
usipuuze.

Umewataja Serena Williams na Tiger Woods ampo aamini ni sample mbovu. Tuchukulie Olympics na Fifa World Cup. Je timu za kiafrika zinafanya vizuri kwenye hayo mashindano niliyoyataja mbaka u conclude waafrika tunajua michezo?

Science utaifanya ukiwa kapuku?
Unajua budget ya kurusha rocket?
Unajua NASA budget wanayoitumia?
Huwezi fanya science kama uchumi mbovu,Nchi za Amerika na Ulaya huko kote wameiba sana mali zetu mpaka leo wanaiba nakufanikisha majaribio ya science and tech.
Wale ni wavamizi na ndicho wanachofanya sasa middle east,kuchukua kitu cha mtu kwa nguvu,wanajikusanya wengi,US,UK,FRANCE,GERMAN n.k.

Ku invest katika Science na teknolojia haihusiani kabisa na pesa uliyonyao. Nchi za kiarabu zina pesa nyingi mnoo ila zinashindwa ku develop Technology. Saudi Arabia ina GDP kubwa kuliko Sweden, Norway na Ireland ila ki teknolojia haiwafikii

Msome mtu anaitwa Malcolm X,soma kwa nini aliacha shule na kuwa mkorofi mtaani,baadae akawa mtu ambaye hatosahaulika katika historia,itakueleza kwa nini Africans na akili nyingi tulizo nazo,vipaji n.k kwa nini tunakuwa nyuma naquote mstari toka kwenye biography yake.

Malcom X was a fanatic. Ku Klux Klan ilikuwa kundi la kigaidi na ninalipinga kwa nguvu zote ila haimaanishi baadhi ya vitu walivyokuwa wanahubiri ni uongo. Dunia hii kila mtu anataka kuwa kama mzungu. Nchi za Japan na China wanawake wanafanya plastic Surgery kuongeza ukubwa wa macho yao ili wawe kama wazungu.

Bongo hapa mwanamke mweupe jamii inamkubali kuwa ni mzuri kuliko mwanamke mweusi
 
Nitajie mwanamuziki superstar myahudi

Watu mazoba kweli, unataka wanamuziki mashuhuri wa kiyaudi ili iweje? Kuwa na wanamuziki ndiko kunafanya watu/jamii kuwa mashuhuri au vipi? Mbona wamarekani weusi si mashuhuri kihivyo duniani na ndiyo jamii inayodharaulika zaidi kuliko jamii zote Marekani tofauti kabisa na ujuavyo wewe na watanzania wengine. Kwa kukusaidia tu, wafuatao ndio mastaa wa kiyaudi...huenda usiwajuwe kwa kujifanya Mmarekani mweusi:
Pink, Billy Joel, Neil Diamond, David Lee Roth, Gene Simmons, Adam Levine, na Barbara Streisand.....wako wengi tu ila sioni sababu ya kuwahusisha wao humu maana sioni umuhimu wao kwenye hii mada.
 
Ushawah kuwaskia Wolfgang Mozart na Ludwig Beethoven? Hao wote waliishi 18th Century. Niambie msanii gani equivalent wa kiafrika wa muda huo alitengenzea mziki quality ya hao jamaa niliowataja? Ukweli mchungu kipindi hicho waafrika tulikuwa porini tunacheza ngoma ambacho ni kifaa ambacho akihitaji akili nyingi
Yaani unazungumzia 18th century? Jana tu hiyo,teh teh teh,
Unapozungumzia Muziki Afrika ndio kwao,vifaa vya muziki ambavyo baadae viliendelezwa na wana taaluma vilikuwako Africa kabla hata 16th century achana na kunambia 18th century.
Kuna kifaa kinaitwa Marimba ni kifaa cha muziki kilikuwako enzi na enzi za mababu zetu,ni xylophone ya kale hiyo,watumwa waliokwenda central amerika wakati huo walikitengeneza na mpaka sasa ni kifaa cha kitaifa katika hiyo nchi ya Guatemala iliyopo karibu na Mexico.Kifaa hiki kimetumiwa na wataalamu wa muziki wakiwemo hao wazungu,mwanamuziki mashuhuri toka uingereza kiongozi wa kundi la rolling stones amekitumia kifaa hiki katika nyimbo kama "under my thumb" na "out of time".
Pia mwanamuziki mashuhuri Elton John,pianist na composer amekitumia hiki kifaa katika nyimbo yake maarufu "Island girl".
1200px-Kora_DSC_0355.JPG

Kifaa ukionacho hapo juu kinaitwa Kora kilitengenezwa West Africa karne ya 16(16th century).
Kuna nyuzi 21 pia kimewekewa na ngozi ya ng'ombe kuweka resonator.
Watumiaji wa kifaa hiki hutumia mkono wa kushoto kucheza nyuzi 11 na mkono wa kulia kucheza nyuzi 10,
2371634_orig.jpg

Hizo nyuzi zina tone tofauti zote zinapopigwa kitaalamu hutoa sauti inayopendeza masikioni,mtu kutengeneza kifaa kama hiki ku adjust hizo nyuzi zitoe tones tofauti na kuweka kitu kama ngozi ili kuweka resonator hana maarifa?
Hajatumia akili nyingi?tofauti na ulivyokuwa unadanganya walikuwa wakicheza ngoma porini eti na ngoma haitumii akili nyingi,nikucheke kwanza.

Najihisi uvivu kuandika ila nikujibu tu kwamba suala la science na teknolojia nipesa,unakose sana kusema nchi za ki arabs zipo nyuma,tembea uone,kuna nchi utafika us utaiona jalala,ila kwa kuwa umelishwa tayari sumu za kimagharibi lazima uwe hivyo,
We unajua ile (drone) ndege ya US iliyoingia kupiga picha za siri za kipelelezi nchini Iran?Unajua Iran ilichofanya?Ndege ile waliiteremsha nzima nzima bila kuijeruhi,
The government of Iran announced that the aircraft was brought down by its cyber warfare unit stationed near Kashmar[4][5][6][7] and "brought down with minimum damage"[8] They said the aircraft was detected in Iranian airspace 225 kilometers (140 mi) from the border with Afghanistan
Hbari kamili soma Iran–U.S. RQ-170 incident - Wikipedia
Bado teknolojia yao ni ndogo?
US aliongea upuuzi mtupu na kwa aibu wakaombwa kuandika barua ya kuomba msamaha ila wakakataa,Kama kawaida yao uongo kama silaha yao wakadai ile ni public technology.

Ila hizo nchi unazosifia marekani amekuwa akizichunguza miaka yote mpaka Snowden alipotoa siri na kukimbia ndio washtuka kumekucha.

Science na teknolojia ni pesa,huwezi kuwa na uchumi mbovu ukawa na science na teknolojia kubwa,unajua Japan iliyumba ki uchumi baada ya ujenzi ule wa reli ya usumaku?

aisee nime choka kuandika,tchao.
 
The government of Iran announced that the aircraft was brought down by its cyber warfare unit stationed near Kashmar[4][5][6][7] and "brought down with minimum damage"[8] They said the aircraft was detected in Iranian airspace 225 kilometers (140 mi) from the border with Afghanistan
Hbari kamili soma Iran–U.S. RQ-170 incident - Wikipedia
Bado teknolojia yao ni ndogo?
US aliongea upuuzi mtupu na kwa aibu wakaombwa kuandika barua ya kuomba msamaha ila wakakataa,Kama kawaida yao uongo kama silaha yao wakadai ile ni public technology.

Very Ironic, hyo Drone Technology imegunduliwa na Wa Israeli amabo ni jews unaowachukia.

Na kwa taarifa yako, hyo electronic warfare capability Iran waliitoa kwa Russia kama mshirika wa kistratejia. Na pia inawezekana uelewa, mi naongelea technological inventions na new patents. Sio kuichukua technology na kuikopi

Nitajie nchi amabyo si ya kizungu imegundua technolojia katika karne hii mpya? Nitajie hata moja

Hao US unaowaita upuuzi mtupu wameweza kupeleka missions za binadamu 6 mwezini. Hao "wapuuzi" US ndo wamegundua GPS amabyo unaitumia kwenye simu yako. Niambie kitu amabcho Iran amekigundua unachotumia wewe?
 
Science na teknolojia ni pesa,huwezi kuwa na uchumi mbovu ukawa na science na teknolojia kubwa,unajua Japan iliyumba ki uchumi baada ya ujenzi ule wa reli ya usumaku?

aisee nime choka kuandika,tchao.

Bro, nshakupa mfano Saudi Arabia ina GDP kubwa kuliko Ireland ila Saudia ipo nyuma mnooo kiteknolojia.North Korea wanakula nyasi ila wameweza kutengeneza Nuclear Weapons na Intercontinental Ballistic Missiles

Ishu sio pesa, ishu ni culture of innovation and creativity. Kama huna hiyo tamaduni hata uwe na hela vipi huwezi kuendelea kiteknolojia.
 
Watu mazoba kweli, unataka wanamuziki mashuhuri wa kiyaudi ili iweje? Kuwa na wanamuziki ndiko kunafanya watu/jamii kuwa mashuhuri au vipi? Mbona wamarekani weusi si mashuhuri kihivyo duniani na ndiyo jamii inayodharaulika zaidi kuliko jamii zote Marekani tofauti kabisa na ujuavyo wewe na watanzania wengine. Kwa kukusaidia tu, wafuatao ndio mastaa wa kiyaudi...huenda usiwajuwe kwa kujifanya Mmarekani mweusi:
Pink, Billy Joel, Neil Diamond, David Lee Roth, Gene Simmons, Adam Levine, na Barbara Streisand.....wako wengi tu ila sioni sababu ya kuwahusisha wao humu maana sioni umuhimu wao kwenye hii mada.
Henric iglesias, Sean Paul, drizzy drake,
 
Very Ironic, hyo Drone Technology imegunduliwa na Wa Israeli amabo ni jews unaowachukia.

Na kwa taarifa yako, hyo electronic warfare capability Iran waliitoa kwa Russia kama mshirika wa kistratejia. Na pia inawezekana uelewa, mi naongelea technological inventions na new patents. Sio kuichukua technology na kuikopi

Nitajie nchi amabyo si ya kizungu imegundua technolojia katika karne hii mpya? Nitajie hata moja

Hao US unaowaita upuuzi mtupu wameweza kupeleka missions za binadamu 6 mwezini. Hao "wapuuzi" US ndo wamegundua GPS amabyo unaitumia kwenye simu yako. Niambie kitu amabcho Iran amekigundua unachotumia wewe?
Hapana usini quote vibaya sijawachukia jews,ila hapa tunawekana sawa tu kuhusu ukweli wa mambo ulivyo.
Wala sijwachukia US.
Wala usinichukulie naongelea udini,ila mnyonge mnyongeni ila haki apate,
Gunduzi zilizofanyika Iran ni kama ifuatavyo.

1-Algebra
Muhammad ibn Musa al-Khwarazmi ndiye mgunduzi na mathematician wa ki persia alizaliwa mwaka 750 akafa mwaka 850 AD,huyu alikuwa mwanahisabati,jiografia na astronomy,huyu anaitwa baba wa algebra,kama ulifanikiwa kuchukua science hasa pure math advanced level utajua kwamba 95% ni algebra tupu,kuanzia Integration and differenciation,Complex number,n.k vile vile kwenye physics yote ni algebra tupu,Hata hao akina Einstein walitumia Algebra.Ugunduzi muhimu sana huu katika ulimwengu wa science na teknolojia.

2-Sulphuric acid.
Zakaria Razi (865-925 AD) aligundua sulphuric acid,leo hii tunaona ni kwa jinsi gani kemikali hii ilivyo na matumizi makubwa kama vile maji ya betri na matumizi katika kusafisha.

3-Jokofu
Japo(400 bc) umeme haukuwako ila wa persia hawa walikuwa na jokofu na walihifadhia vyakula na barafu,sitoelezea sana ila unaweza tafuta kwenye mtandao.
Pia hakiza binadamu n.k.

Kuhusu uvumbuzi wa hivi karibuni ni mwingi saaaana tena sana sema tutakuwa tunarudi pale pale,ndege inayokwenda bila rubani ndio ile ile ndege,Gari inayopaa ndio ile ile gari, Kwa hiyo vumbuzi za aina hii zipo nyingi naweza kuandika ukasema ni gazeti, yaani tutarudi pale pale tu.
Nakushangaa sana unavyoisifia US wakati watu wanatoka US akina Kanye West na Jay Z kwenda kushangaa miji iliyojengeka huko Abu dhabi.

Watu wa kwanza kurusha satellite ni wa soviet sio US,kwenye suala la mtu wa kwanza kufika mwezini ni wa soviet sio wa US,GPS bila satellite haifanyi kazi simu ninayotumia ni mafanikio ya satellite waliorusha umoja wa ki soviet mwaka 1959 na wala sio US.

Hapo kwenye drone Israel na US wote wameonekana wapuuzi,nani mjanja? unalock simu yako na pattern au password halafu anakuja mtu ana itoa kiulaini na kusoma mambo yako nyeti.
Hilo si la kwanza pili Us na mshirika wake Israel walituma virus kupitia kampuni ya Siemens kuharibu mfumo wa computers zilizokuwa zinarutubisha nuclear Iran ila juhudi zao hazikuzaa matunda baada ya kukutana na ulinzi imara wa kimtandao.

Huna kithibitisho ile teknolojia ni Russia amempa Iran hapo umetunga,tatizo una mawazo kwamba nchi zingine hazina teknolojia ya hali ya juu.
 
Bro, nshakupa mfano Saudi Arabia ina GDP kubwa kuliko Ireland ila Saudia ipo nyuma mnooo kiteknolojia.North Korea wanakula nyasi ila wameweza kutengeneza Nuclear Weapons na Intercontinental Ballistic Missiles

Ishu sio pesa, ishu ni culture of innovation and creativity. Kama huna hiyo tamaduni hata uwe na hela vipi huwezi kuendelea kiteknolojia.
Sasa unaniambia saudia inanihusu nini?
Mentality uliyojenga juu yangu ni kwamba nazitetea nchi za ki arabs kitu ambacho si kweli.
Sasa mtu ana mafuta na utajiri wote ule ahangaike na teknolojia za nini?Yeye ni kununua tu teknolojia,yaani wazungu wanaumiza kichwa arabs wenyewewe ni kutembeza pesa tu,sasa mtu ana kisima cha mafuta yuko mtoto awaze teknolojia na hesabu?
rihanna.png

Unamwona huyo kijana wa Saudia?anaitwa Hassan Jameel boyfriend wa Rihanna,sio famous wala musician wala hata hollywood hayupo ila ni tajiri na mfanya biashara mkubwa na familia yake ni tajiri sana mashariki ya kati.
Sasa mtoto kama huyu umwambie science?au akuajiri umfanyie ugunduzi akulipe.

Wazungu wanatengeneza Bugatti na kushindwa kuinunua halafu arabs wanawapa police kufanyia patrol,wazungu wanatoka US kwenda kushangaa Bugatti za police UAE.

Je US na Israel wanaweza kumpa askari gari ya patrol ya 2.5m usd?
Wazungu lazima wahangaike cause ardhi yao haina mali.
2017_Policecar3_base.jpg
 
Naona wale wa mrengo wa kushoto wananvyomshambulia mleta mada. Tuna laana sana sisi. yaani kwenye hilo andiko mtu ameshindwa kabisa kupata hata kitu cha kuchukua kwa faida yake na watu watu wake? Hivi nayo ni uwongo kuwa lishe nzuri wakati wa uajauzito ina mchango mkubwa sana kwa ukuaji wa ubongo wa mtoto? sasa kama sisi kuhu kwetu mama akishika mimba anashindia viazi na maji wewe unategemea mtoto anayezaliwa nakuaje kama siyo anakuwa bongee la kiazi.
 
12.jpg

Homeless in US.
a-homeless-person-searching-in-a-garbage-bin-in-southern-tel-aviv-CPN7WX.jpg

A homeless person searching in a garbage bin in southern Tel Aviv Israel -

Usiamini kila unachoambiwa kama hujashuhudia,ugumu wa maisha upo ulimwenguni kote.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom