Why are jews so smart?

Sina hakika akina Isaac newton nao pia ni jews au mleta mada tunaomba utuletee walao innovation ambayo imefanywa na hao wayahudi?
Ninachoamini mimi ukiniuliza Isaac Newton ana akili sana nitajibu hapana,ila ni mdadisi zaidi kuna hizi tabia 2 udadisi na akili japo mdadisi inafaa akili yake iwe sawa,kuna watoto taarifa za hiii miaka wanazaliwa na ku solve complicated math eqn at the age of 3 yrs,kitu amabcho Isaac Newton hakufanya.
 
Ninachoamini mimi ukiniuliza Isaac Newton ana akili sana nitajibu hapana,ila ni mdadisi zaidi kuna hizi tabia 2 udadisi na akili japo mdadisi inafaa akili yake iwe sawa,kuna watoto taarifa za hiii miaka wanazaliwa na ku solve complicated math eqn at the age of 3 yrs,kitu amabcho Isaac Newton hakufanya.
Mkuu mimi nilichouliza sio isaac newton anaakili au la! Hapana nachouliza mimi ni innvovation gani ilishafanywa na wayahudi?
 
Acha kukataa vitu ambavyo ni wazi. Race gani inaongoza kwenye Science and Technology? Huyo China unayemsifia kila siku anaiba technology kutoka Western world na Russia ambao wote ni wazungu

Hiyo simu unayotumia imetengenezwa na mzungu. Hilo gari unalotembelea limetengenzwa na mzungu. Hizo nguo unazovaa zimetengenzwa na mzungu.

Unanipa mifano ya waafrika walioendelea katika sanaa na michezo ? Tangu lini dunia ilibadilishwa na sanaa na michezo? Boss, dunia inabadilishwa na Science and Technology .

Boss, wazungu wanaitwa Caucasians. Maana yake ni kuwa asili yao ni milima ya Caucas amabyo ipo Southern Russia karibia na nchi ya Georgia. Scottish people ni jamii moja wapo ya wazungu Anglo Saxons
Sasa wewe mkuu unabishana na mtu anajiita mchichapori huoni unapoteza nguvu zako. Ifike mahali tukubali tu ukweli.
 
Jamaa yuko vizuri tu.

Cha muhimu jibuni hoja zake.
Uvivu tu wa kuandika kupitia simu. Sipo na access ya laptop, ningemjibu hoja moja baada ya nyingine; hata hivyo, unapojadili haya mambo unapaswa kujadili ukiwa na free mindset. Usijadili kama black supremacist wala pro-white supremacy; kitu hiki ndo wengi wanaangukia humo ktk kujadili. Nadhani umenipata mkuu.
 
Uvivu tu wa kuandika kupitia simu. Sipo na access ya laptop, ningemjibu hoja moja baada ya nyingine; hata hivyo, unapojadili haya mambo unapaswa kujadili ukiwa na free mindset. Usijadili kama black supremacist wala pro-white supremacy; kitu hiki ndo wengi wanaangukia humo ktk kujadili. Nadhani umenipata mkuu.
Nakupata.

Pamoja sana.
 
Sio vibaya kucopy na nimeona mengi ya kujifunza hapo ila ingekuwa kiswahili wengi wangeelewa na hata kuchangia

Ila niwaeleze kisa kimoja kilichototokea London pamoja na akili yote hiyo lakini tafiti hazijaeleza pia utajiri wao huo unaanzia wapi kwani sio kujifunza hesabu wakiwa tumboni au kula samaki na almonds tu.


Kuna mama mmoja CEO alimwita mfanyakazi wake mmoja ofisini na kumpa maelekezo ya kazi.

Alipokuwa anaongea nae akaona cheque imeandikwa £1 kwa udadisi tu akamuomba radhi na kumuuliza huku akitabasamu na kumwambia cheque ya £1 unamwandikia nani?
Mama akamwambia unajua kuwa mimi Nina asili ya uyahudi? (Huwezi wajua wengi mpaka wakuambie)
Hivyo basi hapa nchini kuna wayahudi laki3 kwa (wakati huo) kwa hiyo kila mtoto anapozaliwa tunapata taarifa na kujulishwa wote.

Hapo ndipo kila mmoja wetu hutoa pound moja moja kwa ajili ya mtoto aliezaliwa.

Sasa hebu fikiria account inasoma £300,000 (sh 900m) pindi unapozaliwa tu na hutaigusa mpaka umefikisha miaka 18.
Hapo ni kula sana samaki au maybe just maybe lakini huo ndio ukweli wa hawa jamaa.
Wako smart and well organised
 
Usilete mawazo ya kitumwa,kama ungeishi (nahisi bado hujaishi)huko ulaya unakokusifia ndio ungejua wazungu wana IQ kubwa au la,ila kwa sababu unaongea story za kuambiwa lazima utakuwa hivyo,au ungeishi na hao jews ungejua kama wana IQ kubwa au la.
Kwa msaada tu,soma Ugunduzi wa Egypt waliofanya 3000bc,Egypt walijua hesabu thousands of years bc,walitengeneza karatasi na calendar bc,Europe walikiuwa bado,ndio usema wana iq kubwa?Mbona una mawazo ya kitumwa sana wewe kama huishi 21st century?
Basi kama kusoma hutaki sikiliza hata ile nyimbo ya Nas "I can" na ujumbe uliomo uone mtu aliyezaliwa na kukulia Amerika miaka yote anachoongea,na kaishi na hao wazungu unaosema wana IQ kubwa kuliko wewe,sikiliza anazungumza nini kuhusu Africa.Tena kuanzia 2:40 pale sikiliza kwa makini kionjo tu anakwambia wazungu walikuwa wanakija Africa kupata elimu.

Kama una hizi theory za kipuuzi watoto wako wana shida kuwa na mzazi kama wewe.Unaandaa kesho ipi? Unafikiri China wangefika pale wangekuwa na mawazo mgando kama ya kwako?
Nimesema kuwa kila race ina watu wenye IQ kubwa lakini unawatumiaje?
Hao wazungu wanaopitisha ushoga ndio wana IQ kubwa au ushetani ule? Unajua IQ wewe? Ulishasikia China kuna ushoga na serikali imehalalisha?
Ndio mzungu original ni mtu toka Scotland unabisha?
Arab ni mtu toka Yemen,kuanzia Iraq,Iran sijui Afghanistan na kwingine huwezi sema wale ni waarabu pure.
maxresdefault.jpg

Mayweather-post-fight-win.jpg

1470535466-NS_06DenzelPractice.jpg

usain-bolt-of-jamaica-signs-authographs-to-women-fans-after-winning-picture-id102713651

Laiti kama waafrika tungekuwa na tabia ya kujitapa kama wenzetu basi tungekuwa zaidi ya hao wazungu na jews.

Kabisa mkuu
Tuna mengi ya kujivunia km mauaji ya albino na kutoachia madalaka
 
We unazungumza kitu gani?Ukiacha sports ambapo inaonyesha waafrika ni jinsi gani tulivyo strong muziki nakupa sasa kama ulikuwa hufahamu kwamba ina define IQ ya mtu ndio maana mleta uzi ukisoma alipoelezea jews na quote mstari

It goes without denial that Jews are ahead in all aspects of life such as engineering, music, science and most obvly in business.

Wamezungumzia music halafu nashangaa unachoongea,Kwa taarifa yako hata music ni hesabu,kuanzia kucheza guitar na piano.
N suala zima la michezo pia blacks tupo vyema,michezo inaonyesha afya ya mtu kia akili na kimwili pia,ndio maana mleta uzi na mquote line hii.
Jewish children are also involved in athletics such as archery, shooting and running. They believe that archery and shooting wld make the brain more focused on decision-mkg and precision.

Inabidi nizidi kukushangaa shooting and running ni sports hizo,hapo tunawapata watu kama akina Tiger Woods,Serena yule mama anayecheza Tenis n.k Mkuu dont you see?
Michezo kwa taarifa yako ina define IQ ya mtu na ni kitu kizuri sana kuwahimiza watoto,japo waafrika tunazaliwa na hivyo vipawa na kupuuzia kama wewe, na unawaza tu science and tech,utafanyaje science hali ya kuwa akili imedumaa?
usipuuze.
Science utaifanya ukiwa kapuku?
Unajua budget ya kurusha rocket?
Unajua NASA budget wanayoitumia?
Huwezi fanya science kama uchumi mbovu,Nchi za Amerika na Ulaya huko kote wameiba sana mali zetu mpaka leo wanaiba nakufanikisha majaribio ya science and tech.
Wale ni wavamizi na ndicho wanachofanya sasa middle east,kuchukua kitu cha mtu kwa nguvu,wanajikusanya wengi,US,UK,FRANCE,GERMAN n.k.
Halafu eti wapo juu kwenye Science and Tech.
Msome mtu anaitwa Malcolm X,soma kwa nini aliacha shule na kuwa mkorofi mtaani,baadae akawa mtu ambaye hatosahaulika katika historia,itakueleza kwa nini Africans na akili nyingi tulizo nazo,vipaji n.k kwa nini tunakuwa nyuma naquote mstari toka kwenye biography yake.

During Malcolm's early years, his family moved several times because of racism (dislike and poor treatment of people based on their race). They moved from Omaha, Nebraska, after being threatened by the Ku Klux Klan, a group that believes that white people are superior to all other races. While living in an all-white neighborhood in Michigan their house was burned. When Malcolm was six years old, his father was mysteriously murdered. The black community was convinced that white people had committed the crime. Three of Malcolm's four uncles were also murdered by white people.

Mpaka leo huwa nashangaa sana na kusikitika kuona mu afrika mwenzangu bado ana mawazo ya kitumwa japo kuna internet,vitabu na shuleni pia tunakwenda.
Jamaa anajua kipimo cha kujua music ni kunyoa viduku,kucheza kiduku,kuvaa mlege,kukatika nk
Huyu atakuwa na asili ya indonesia
 
Obama before became the president, jews called him names and saw him as blackman incapable to be the president of United States. What happened after he won the election, jews dig him and came with claim Obama's mother was jews so he is jews too!

Those are Jews! Before you become some one you are not jews, after you become someone they come out with false chronology about people and say you are Jews!
Hata dunia nzima tuungane kuwapinga haiondoi walicho nacho na wanachokijua,la msingi tuige mazuri yao mkuu
 
In the USA, the commercial/trading center for the Jews are based in New York - catering only for the Jews. If any Jew has any beneficial idea, their committee will give free interest loans and will make sure the business prosper. Thus Jewish companies like Starbucks, Dell Computers, Coca Cola, DKNY, Oracle, Levis, Dunkin Donut, Hollywood films and hundreds other businesses were given free sponsorship.
hapa ndio pana kila kitu
 
Hata dunia nzima tuungane kuwapinga haiondoi walicho nacho na wanachokijua,la msingi tuige mazuri yao mkuu
Umelishwa kitabu cha waandish wa kiyahud na ubongo wako umeoshwa vya kutosha, toka kwenye hilo boksi. Umesema dunia haiwezi kuwashinda? Hitler alitaka futilia mbali wayahudi wote, sasa unasemaje eti Dunia haiwawezi?!
 
Kabisa mkuu
Tuna mengi ya kujivunia km mauaji ya albino na kutoachia madalaka
US nao wana mengi ya kujivunia kama kuua watu ambao hawana hatia Afrika na middle East na kuutambua ushoga,shoga anaweza kuwa raisi wa us Obama alishazungumza hii kitu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom