Mwenda_Pole
JF-Expert Member
- Jul 5, 2008
- 281
- 66
Kumbuka WHO hawachangii kampeni kwenye chaguzi na hawatoi 10 au 30% siku hizi kwenye deals!Wakuu hii imekaaje?
WHO yatoa msaada wa magari 25 (Totota Land Cruiser Mpya) yaliyogharimu fedha za kitanzania zaidi ya shilingi milioni 986 kusaidia mpango wa Afya ya mama na mtoto nchini, na amekabidhiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Aisha Kigoda leo jijini Dar es salaam, WHICH IS OKAY
Hivi karibuni tuliona kuna yule jamaa wa kihindi alikwenda kukabidhi Ambulance 2 Ikulu kwa Rais na ni kwa shughule kama hizo hizo tu hii imekaaje????
Wakuu hii imekaaje?

Huo ni msaada au nini jamani?
Kama ni msaada, hiyo 986M ni ya nini?
Labda niwekwe sawa hapo, na sielewi hii inhusiana vp na huyu muhindi!
acha ubaguzi wewe!!, WHO ni wajibu wao kutupa hayo magari, na hawatoi kwa Tz tu, ni nchi zote wanachama kwa sababu na sisi tunachangia UN, kwa upande wa huyo mhindi ndio tunaweza kuita msaada wa dhati, na hawa watu wanatusaidia sana sana, tusiwe na wivu wa kijinga, miswahili ndivyo tulivyo
Yaani hayo magari ya msaada yote thamani yake haifikii nyumba ya Gavana???????????
Vipaumbele vya Tanzania ni nini??
wewe ni mhindi nini? hawa jamaa wanatusaidia? wapi? hizo ambulance mbili ukilinganisha na EPA au tenda za matrekta, magari ya jeshi, misamaha ya kodi, ukwepaji wa kodi bandarini wapi na wapiacha ubaguzi wewe!!, WHO ni wajibu wao kutupa hayo magari, na hawatoi kwa Tz tu, ni nchi zote wanachama kwa sababu na sisi tunachangia UN, kwa upande wa huyo mhindi ndio tunaweza kuita msaada wa dhati, na hawa watu wanatusaidia sana sana, tusiwe na wivu wa kijinga, miswahili ndivyo tulivyo
wewe ni mhindi nini? hawa jamaa wanatusaidia? wapi? hizo ambulance mbili ukilinganisha na EPA au tenda za matrekta, magari ya jeshi, misamaha ya kodi, ukwepaji wa kodi bandarini wapi na wapi
Wakuu hii imekaaje?
WHO yatoa msaada wa magari 25 (Toyota Land Cruiser Mpya) yaliyogharimu fedha za kitanzania zaidi ya shilingi milioni 986 kusaidia mpango wa Afya ya mama na mtoto nchini, na amekabidhiwa Naibu Waziri wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt Aisha Kigoda leo jijini Dar es salaam, WHICH IS OKAY
Hivi karibuni tuliona kuna yule jamaa wa kihindi alikwenda kukabidhi Ambulance 2 Ikulu kwa Rais na ni kwa shughule kama hizo hizo tu hii imekaaje????
Wasaidizi wa rais wanachaguliwa na nani?Ili nitumbukize jina langu hapo mapemaahuyu mr Haji ni mtoa rushwa ...ndio huuza magari aina ya discovery ,na defender kwenye majeshi yetu...nadhani hapo alikuwa kwenye business zaidi....hapakuwa na mantiki kulazimisha kukabidhi vigari viwili kwa rais ...wakati wanaotoa misaada hadi ya magari 40 wanamkabidhi waziri au katibu mkuu...
wasaidizi wa rais msishushe hadhi ya rais wetu namna hii...mnaruhusu appoitment za kumdhalilisha kama hii na ile ya kufungua hoteli iliyojengwa road reserve kule arusha!
Wasaidizi wa rais wanachaguliwa na nani?Ili nitumbukize jina langu hapo mapemaa