Who will stop this tyrant? Support our brothers!

Who will stop this tyrant? Support our brothers!

mkuu mzizi mkavu.
hapo sylia kuna mambo mengi. Qatar imefinace jamaa wanaojiita wachunguzi wamekuja na picha zaidi ya elfu saba wanataka ulimwengu uamini kuwa ni ushahidi wa mauaji ya assad. Wakati huo huo nchi hiyo inashindana na saud arabia katika kufinance waasi mabilioni ya pesa ili serikali halali ya assad iangushwe. The deal behind tukiacha Propaganda za marekani kuwadhoofisha watu wenye fikra tofauti na zao pamoja na usalama wa izrael, Quater walikuwa na project kubwa ya kujenga bomba la mafuta lipite sylia kuelekea uturuki na kuteka soko la ulaya yote. Assad akakataa na inaonekana plan ya assad alitaka kuwapa iran hilo deal. Ndo maana jamaa wanamsaliti mwarabu mwenzao kwa kutumia tillions of money ili aangushwe na watimize malengo yao ya kibiashara.

always what we see and hear is not the real picture when it comes to global politics.
 
Hakuna watu washenzi katika hii dunia kama waarabu. Wanauwana kama nzi vile.

Rwanda 800,000 walipotea kwa miezi michache tu yaani muda mfupi sana kulinganisha na Syria 120,000 kwa miaka mitatu - hao sio waarabu, nchi ngapi za Africa , latin amerika na asia wamekufa mamilioni na huko kuna waarabu ? Usi generalize watu kuwa ni washenzi kwa mauwaji - ni maafa yamewafika ambayo yanaweza kutokea nchi yoyote
 
Mkuu tembea ujionee wewe mwenyewe katika nchi zinaongoza ukiukwaji wa haki za binadamu duniani ya kwanza ni (1) Pakistan ya pili Syria na ya 3 ni Turkey. Na hakuna nchi ya Kiarabu yenye Demokrasia ya ukweli Zote nchi za kiarabu zinaongozwa na utawala wa ki-Dikteat (Utwala wa kifalme) Amka ndugu yangu usipende kitu ukawa kama jogoo anavyomkimbiza kuku ili ampande kazi kwako. Tembea ujionee usingoje kuambiwa.

Point yangu haina uhusiano na utawala wala demokrasia. Ni kupinga kujumrisha watu kitaifa na kuwatukana. Demokrasia udicteta ni subjective na hiyo silo. Ukatili wa mtawala au watu anaowaua haimanishi watu wa nchi hiyo ni wakatili!
 
Back
Top Bottom