Who will stop this tyrant? Support our brothers!

Who will stop this tyrant? Support our brothers!

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
1620708_644891618904662_1678840639_n.jpg
 
Kiongozi mbaya duniani ni yule anayependa kuwauwa Wananchi wake huyu ni Kiongozi mbaya mimi huwa ninamfananisha sawa sawa na nyoka umfuge siku moja atakugonga Mwenyeezi Mungu atamlipa Rais Bashar Assad kwa yale anayofanya ameen.
 
John Kerry Jana Uswiss alimtuhumu Assad kwa mauaji ya watu wake mwenyewe. Cha kufanya ni China na Russia Kuacha unafiki ili Assad aondolewe kinguvu madarakani.
 
John Kerry Jana Uswiss alimtuhumu Assad kwa mauaji ya watu wake mwenyewe. Cha kufanya ni China na Russia Kuacha unafiki ili Assad aondolewe kinguvu madarakani.

unajua unachokitetea mkuu. fuatilia historia itakuhukumu, mwache Asaad atetehe watu wake dhidi ya mkono dhalimu wa mmarekani
 
Duuuuuuuu!!!!! Kwa kweli MUNGU awalipe viongozi wote wanao nyang'anya uhai wa watu wao kwa njia yoyote, Na Adhabu yao iwe hapa hapa Duniani ili na wengine wajifunze. Inaumiza sana kuona mtu anajipa madaraka juu ya uhai wa wengine
 
Ndugu Mzizimkavu hua nakuheshimu sana ila kwa hili ??????? Assad ni rais halali na ata jana uko Geneva hao wazungu mnaowaabudu walishangaa kuona nje watu wakiwa na mabango ya rais wao kipenzi Asad! Hivi hujui kua mataifa ya nje hasa US,UK,FRANCE,TURKEY,ISRAEL,SAUD,QATAR ndo wamesababisha haya mauaji yote kwa kuwafadhili kifedha na kislaha? Au tatizo lako ni uarabu wa Saudi na sera za Prince Bandar za kufadhili vikundi vya kigaidi ili ARAB SPRING isifike kuwaondoa hao wafalme?Au kwa akili yako huoni jinsi Syria ilivyokua safe heaven ya magaidi? Au unafurahi Irak after Sadam? Ni vyema kuishi na shetani unaemjua kuliko malaika husiemfahamu....Look at LIBYA now....msiwe brainwashed na propaganda za kimagaribi
 
Kiongozi mbaya duniani ni yule anayependa kuwauwa Wananchi wake huyu ni Kiongozi mbaya mimi huwa ninamfananisha sawa sawa na nyoka umfuge siku moja atakugonga Mwenyeezi Mungu atamlipa Rais Bashar Assad kwa yale anayofanya ameen.

Temea mate chini, hizi ni siasa za kiarabu, kwani wapinzani wanapigana kwa mashada ya mauwa?
 
Mkuu,unajipunguzia "credibility" yako.
Samahani kama nimekuudhi lakini waarabu

Mwenyeezi Mungu amewataja mpaka kwenye Quran kuwa ni watu wenye kukufuru zaidi kuliko watu

wengine duniani Mwarukuni Angalia hizi Video za waarabu...............



















Angalia hizo video kisha bado useme wewe unawapenda Waarabu wa Uarabuni kwa tabia zao utakuwa bado wewe huna akili timamu

Katika Bara la asia waarabu ndio wanaongoza kuvunja haki za binadamu duniani kote. Tembea

nchini mwao ndipo utakapo jionea wewe mwenyewe ushenzi wa waarabu huko nchini mwao

uarabuni.
 
Last edited by a moderator:
Hakuna watu washenzi katika hii dunia kama waarabu. Wanauwana kama nzi vile.

Mtu mshenzi ni yule anayetukana taifa au kusteoretype. Ni ufinyu wa mawazo. Juzi juzi tu burudi au rwanda na Kenya waafrika wamechinjana ovyo. Je hao ni Waarabu!
Come on!
 
Samahani kama nimekuudhi lakini waarabu

Mwenyeezi Mungu amewataja mpaka kwenye Quran kuwa ni watu wenye kukufuru zaidi kuliko watu




wengine duniani Mwarukuni Angalia hizi Video za waarabu...............



















Angalia hizo video kisha bado useme wewe unawapenda Waarabu wa Uarabuni kwa tabia zao utakuwa bado wewe huna akili timamu

Katika Bara la asia waarabu ndio wanaongoza kuvunja haki za binadamu duniani kote. Tembea

nchini mwao ndipo utakapo jionea wewe mwenyewe ushenzi wa waarabu huko nchini mwao

uarabuni.


Naona hukuifahamu Quran! Tafuta shehe aliyesoma akueleze maana iliyokusudiwa hapo!

Kuhusu picha naona anza kwanza kutizama za waafrika! Wakichinjano ovyo ovyo tu.
Kabla hujageuza watu wengine jigeuze wewe mwenyewe!
 
Last edited by a moderator:
Naona hukuifahamu Quran! Tafuta shehe aliyesoma akueleze maana iliyokusudiwa hapo!

Kuhusu picha naona anza kwanza kutizama za waafrika! Wakichinjano ovyo ovyo tu.
Kabla hujageuza watu wengine jigeuze wewe mwenyewe!
Mkuu tembea ujionee wewe mwenyewe katika nchi zinaongoza ukiukwaji wa haki za binadamu duniani ya kwanza ni (1) Pakistan ya pili Syria na ya 3 ni Turkey. Na hakuna nchi ya Kiarabu yenye Demokrasia ya ukweli Zote nchi za kiarabu zinaongozwa na utawala wa ki-Dikteat (Utwala wa kifalme) Amka ndugu yangu usipende kitu ukawa kama jogoo anavyomkimbiza kuku ili ampande kazi kwako. Tembea ujionee usingoje kuambiwa.
 
TISS ya sasa ya akina Ighondu inafuata mfumo wa kiarabu!
Angalia mateso ya Dr Ulimboka!
Angalia mateso ya Kibanda na kupewa kilema!
Angalia yule ofisa usalama aliyetoswa pale kisimani !
 
Back
Top Bottom