Who Killed Bob Marley Documentary - Strange Universe Documentary

Waliomuuwa Bob Marley ni Wamarekani Cia kwa sababu alikuwa anaimba nyimbo kwa kutumia mambo aya Siasa ndio wakaona huyu anwastuwa watu wapate kuamka ndipo WaMarekani walimuuwa kwa kumpiga sindano ya Ugonjwa wa kansa.
 
.. what about Peter McKingtosh?
 
Sindano ya ugonjwa wa kansa ndio nini?
All in all, his legacy lives on. Umenikumbusha siku ya uhuru wa zimbabwe. I really wished Robert could witness that.
 
Bibie King'asti Hujuwi kuwa haya maradhi ya siku hzi yanatengenezwa kwa Madawa ya kizungu chemical Biological weapon? Unapigwa Sindano baada ya miezi 6 au mwaka unafariki.
 
Last edited by a moderator:
Sasa tusiite sindano ya kansa, tuite chemical flani. Sijui kama unanisoma, lets talk polonium 210 hivi. Umenikumbusha yule shushushu wa urusi wamarekani walimmaliza sikumbuki na kutumia kemikali gani. It was inhuman.

Mine is an ordinary mind, can't comprehend complex matters like those
 
Marley like Lumumba Allende, Che Guavara, Nkrumah and many more revolutionalists, was killed by CIA for he stood in their way by encouraging people to rebel against imperialism and hyenaism. Again, nothing is forever except God. Soon US will be pushed to the periphery when China takes over before Russia resurging. And this is the prophecy. Heed it.
 
Sasa tusiite sindano ya kansa, tuite chemical flani. Sijui kama unanisoma, lets talk polonium 210 hivi. Umenikumbusha yule shushushu wa urusi wamarekani walimmaliza sikumbuki na kutumia kemikali gani. It was inhuman.

King'asti yule shushushu wa KGB anaitwa Alexander Litvinenko,
Alipigwa kipapai 210 na KGB wenyewe maana alimuasi Putin akajificha London.

Alitupiwa jini linaitwa polonium 210 kaanza kuumwa Nov 01, by Nov 23 2006 kwisha habari yake......
 
Last edited by a moderator:
I like this:

Mkuu Father of All wakati mwengine unazungumza maneno ya point ahhh sikujuwa upo namna hivyo mkuu Father of All? mimi nitakuita sio Father of All mimi ninakuita Babu wa wote unasemaje?
 
Last edited by a moderator:
Sasa tusiite sindano ya kansa, tuite chemical flani. Sijui kama unanisoma, lets talk polonium 210 hivi. Umenikumbusha yule shushushu wa urusi wamarekani walimmaliza sikumbuki na kutumia kemikali gani. It was inhuman.

King'asti yule shushushu wa KGB anaitwa Alexander Litvinenko,
Alipigwa kipapai 210 na KGB wenyewe maana alimuasi Putin akajificha London.

Alitupiwa jini linaitwa polonium 210 kaanza kuumwa Nov 01, by Nov 23 2006 kwisha habari yake......
Mkuu RealMan ndio huyu nini.@King'asti

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom