Who is the real king of new York ?

Who is the real king of new York ?

KRS-One
8ba474abbeb5158be794e5c0f5f8f19a.jpg
 
Kwanza alikuwa 'mtumwa' wa Puffy. Puffy ndio alikuwa anaamua jamaa afanye nini, na afanye vipi. Pili jamaa hakuwa na king-level respect toka kwa wenzake, ODB ashawahi mnyang'anya mic jukwaani. Bado alivyotekwa West Coast, akaomba msamaha. Bado pia alivyopiga simu redioni ili watu wakawanyizie kina Snoop. The guy was a pussy, just had a sick flow.
At least unaonekana kufuatilia na kujua mambo kiuhalisia.

Others r jus barking in here.....!

Stupid them,
 
NAS na JAY Z walikuwa wapinzani wa JADI.

BEEF lao lilikuwa si la kitoto
 
Back
Top Bottom