Who is the real king of new York ?

never Se me

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
702
1,006
730561fd72ed9ed17142b2348b1cce21.jpeg
 
jaribu kufafanua kivipi?
of all time? wa sasa? ama vipi?
 
Kuhusu Biggie pls explain

Kwanza alikuwa 'mtumwa' wa Puffy. Puffy ndio alikuwa anaamua jamaa afanye nini, na afanye vipi. Pili jamaa hakuwa na king-level respect toka kwa wenzake, ODB ashawahi mnyang'anya mic jukwaani. Bado alivyotekwa West Coast, akaomba msamaha. Bado pia alivyopiga simu redioni ili watu wakawanyizie kina Snoop. The guy was a pussy, just had a sick flow.
 
Hiyo ya ODB ndo sikuwa naifahamu
 
Back
Top Bottom