Ukimuona Razorblade mwambie namsubiri hapa Mikocheni bado dakika 20 mpira uanzeMtu wa maana kabisa wewe๐ฅ
Seran anataka kukuzamisha baharini, ushasahau ๐
Vin anao upole flani hata kama ni mkorofi ila ni mwepesi wa kutafuta amani
Hapana sio kweli
Ni kweli ila ana punch line flani hivi ya upoleUshawahi kumkuta uzi wa Mshana ule wa selfika kama sikosei,wakati ule alikuwa anajiita jina lingine kabla ya hili
Sio mpole ana vimaneno fulani hivi vya mipasho
Tusubiri zamu yetu waleviHawa wote waliotajwa ni macool people au sio ?
Dah! Inabidi nikaoge maji ya bahari, kwa nini ulikuwa unahisi hivyo ๐คHalafu kumbe @dosho12 ni guy? Najuaga ni wa kike huyu
Sisi wengine ni ukiweka uhoko, tunaweka njumu...
Dah! Inabidi nikaoge maji ya bahari, kwa nini ulikuwa unahisi hivyo ๐ค
Kama mimi tu ๐Lamo ni mpole mno sema hamja mwelewa tu