Who is The Best Lady Here?

Kuna huyu mdada sijui ni mmama anaitwa Neylu, nampenda sana. Yan yupo poa japo simfahamu.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Last edited by a moderator:
Karucee. Thread zake ni engaging, mature, informed(educated), and waterproof.
 
Last edited by a moderator:
Thread za ovyo ovyo ndio zipi, kwa forum kama haupendi threads pitilia mbali.
 
kwanza, ngoja niangalie mtanange sijui kinachoendelea
 
AshaDii na Roulette ndio kura yangu inaangukia
 
tell me ur first ID kabla hujaanza kutumia hii.

sijawahi kuwa na ID nyingine na wala sina ID nyingine, kabla ya hapo nilikuwa ni guest tu mpaka ilipofika tarehe

5.10.2012 ndipo nami nilikata shauri la kuwa member wa JF.
 
sijawahi kuwa na ID nyingine na wala sina ID nyingine, kabla ya hapo nilikuwa ni guest tu mpaka ilipofika tarehe

5.10.2012 ndipo nami nilikata shauri la kuwa member wa JF.

safi sana, u mzuri wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…