Who is The Best Lady Here?


Umezungumzia thread za hovyo bila kusema ni kipimo kipi tukitumie ili kujua hizo thread za hovyo

Kwa kutokutoa huo mwongozo nawe unaingia kwenye kundi hilohilo la thread za hovyo

Lakini cha ajabu zaidi umesema kuwa akina dada ndio wanaoongoza kwa kupost hizo thread za hovyo
Huenda ukawa sahihi,lakini hujasema huo u-hovyo ni kitu gani kwako maana tuna tafsiri tofauti za mambo ya hovyo

Mfano,Ukiwa wewe ni mwizi halafu ukakutana na mtu anachukia wizi utamuona wa hovyo na anafanya mambo ya hovyo
Sasa huenda na wewe uko kwenye kundi hili

Kwanini usingetuambia tafsiri ya huo u-hovyo unaouongelea hapa ili tujue unaongelea kitu gani?
Thread yako imepungua sana hivyo nayo ni ya hovyo pia

Ondoa thread yako hapa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huu mtanange ni batili. Hatujaelezwa ni vigezo gani vimetumika kupata washiriki, kusema tu kwamba haihusu waliotoa post nyingi haitoshi. Kuna wanawake wengi wamewekwa nje ya kinyang'anyiro hali ya kuwa hutoa hoja zenye mantiki siku zote.
 

ha ha ha ha..
 

Duuh Aisee!?
 
daaaa sijui watu huwa wanawaza nini aiseeee duuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…