Who is superpower in EAC? TZ or Kenya?

Ok I think the thread could have asked in EA which is the "regional-power" because EAC has not yet produced a member that qualifies as a Super-power. However in EAC there is inevitably a regional-power. And according to description below regional power must:



  • be part of a definable region with its own identity
  • claim to be a regional power (self-image of a regional power)
  • exert decisive influence on the geographic extension of the region as well as on its ideological construction
  • dispose over comparatively high military, economic, demographic, political and ideological capabilities
  • be well integrated into the region
  • define the regional security agenda to a high degree
  • be appreciated as a regional power by other powers in the region and beyond, especially by other regional powers
  • be well connected with regional and global fora.

African powers

Egypt
Nigeria
kenya
South Africa
 
The poorest countries in the world | Global Finance

Ukienda kwenya hiyo link hapo juu. In terms of GDP(PPP)- GROSS DOMESTIC PRODUCT AT PURCHASING POWER PARITY.Takwimu zimetolewa IMF (international monetary fund) Utaona Burundi ni 3rd most masikini country duniani, Rwanda wapo no. 18, Uganda no. 21, Tanzania no. 28, Kenya namba 35, South Africa wapo 106, Botswana no.125, Libya no. 126, Gabon no. 128, hizi takwimu ni kwa nchi 182 ambayo Qatar ndio wanaongoza.

Nchi zinazo fanya vizuri Afrika ni Gabon ikifuatiwa na Libya, Botswana na S. Africa ikiwa ya nne. Mimi kama mimi, maoni yangu ni kwamba nchi masikini ni zile zimeshindwa kuiga mambo mengi kutoka nchi zinazo ongoza. Kwanza kabisa nchi zinapaswa ziige utawala bora na management ya uchumi. Kila nchi East Africa itafanya vizuri kuwa na wizara ya Kuiga au Ministry of copying. Nasema hivyo sababu maendeleo mengi tunayolilia yapo tayari nchi za wenzetu. Kama ni barabara na jinsi ya kumaliza foleni, zipo dunia nzima tusome hapo jinsi ya kufanya. Iwe ni management ya kilimo, madini, afya kila moja tunatakiwa kuiga tu! tukifaulu kuondoa umasikini na ku elimisha watu wetu basi tuanze kufikiria zaidi. Nchi zilizobora afrika, utaona ni zile zimeweza kuiga vizuri. Jameni! tunashindwa kuiga tu! kuchungulia wenzetu wanachokifanya? Tuwaulize botswana, hivi hizi almasi mumewezaje zikawafaidi kiasi hiki? Kenya mumewezaje mambo makubwa ya maua na horticulture na ka eneo ka ardhi kadogo hako? Tanzania mbona hakuna ukabila? mmefanyeje?,Tuwaulize basi hata walio kuwa nje, mnaonaje huko? nini kinachoendelea? Na walio majuu leteni mnacho kiona kikifanyika huko mkifanye na huku kwa manufaa ya wote.Mbona hapa tunajua sana kuigana wenyewe kwa wenyewe?
 
That list you have given does not explain demographic versus GDP factors. For example Botswana (Population: 2,007,000 (2010) World Bank GDP: US$ 14.86 billion (2010) World Bank) and Gabon(Gross Domestic Product - GDP, US$ 16.771 billion 1,505,000). What if it was to account for the long term with also current economic crisis that is affecting most countries?
 
Kilimanjaro ndio super power ya EAC, maana chadema chama chenye nguvu kwa sasa kimeasisiwa huko, Moshi.
 
Huu ni utabiri au ni nini Mkuu? Yaani umeegemea kwenye Economic Analyisis yoyote au ni siasa siasa zaidi?

Kwanza naomba nikutahadharishe tu kuwa Kenya wameanza kuwekeza kwa wananchi wao kielimu, kitaaluma zaidi kwa miaka sasa na wanaendelea, wapo watu kule wanaothubutu wengi sana na wenye "skills" maradufu ya Tz. Sasa hii miaka mitatu ninayoona watoto wetu wanakimbia Hisabati, Kemia na Fizikia ndiyo indicator kweli? Ninawasiwasi kama itatokea tutakuwa tumedanganywa ili tulewe halafu wachukue wengine na ndiyo itakuwa mwisho wetu! Chunguza sana utagundua kuwa biashara nyingi hapo zinaendeshwa kwa "remote control" kutoka Kenya.
Bado hatujaamka Mkuu!


sorry nilikosea
nime edit i hope mmeona....
 
Hii ndo ppp ya 2010 na hii ni determinan ta vitu vingi tu.
Kenya 66 2010
Tanzania 58 2010
Uganda 42 2010
 
For now is KENYA obviously...lakn Tanzania tukibadili mitizamo Yetu hasa viongozi tutawapiku

Kabla ya kikwete mukapewa Mkapa na kabla yake Ali Mwinyi, wote wakitofautiana katika style za uongozi. Unataka kueleza hakuna aliyeleta mabadiliko? Kila akiondoka rais lazima atarushiwa lawama chungu nzima. Kwa sasa naona AM ichukue hatua zingine za kuendeleza mataifa.
 
Back
Top Bottom